Zanzibar ni member wa SADC?

Zanzibar ni member wa SADC?

Maneno hayo kamwambie mama yako. Umetahiriwa? Hakuna rais wa znz ukitoa shein aliyewahi kuapishwa kama waziri ktk seriakli ya muungano. Amani alikataa, Salmini amour alikataa . nionavyo, kukubaki kuapa kama mjumbe wa baraza la mawaziri wa muungano ni kujidhalilisha na kuidhalilisha nchi yako. Full stop.

Nchi gani? Zanzibar siyo nchi
 
Binafsi huwa najitambulisha natokea Zanzibar

wakati nafanya post graduate degree yngu europe nilijitambulisha kuwa natokea znz na kwa sababu znz ni maarufu duniani kuliko hata tanganyika takriban waliifahamu znz na almost 40% wa wanafunzi wezangu waliwahi kwenda znz kama watalii wengine wakifuatana na familia zao. Kwangu mimi znz is every thing. tumeingizwa kwenye muungano bila ya ridhaa zetu. Hatutoki kwa ujinga wa mhuni mmoja aliyekuwa akiwaogopa akina Babu na communists wenzake. Ni ajabu , kwa sbabu karume alikuwa baharia tu hakuwa na hata darasa moja alilosoma wakati mwenzake nyerere alikuw na intellectual capital kubwa ya kumshawishi huyu mhuni.
 
Sheikh vipi tena? Umefika kwenye kuinamishwa na kuvuliwa pichu?

Ukisoma body languge ya watanganyika hawako tayari kuitoa znz. kuna visingizio vingi ambavyo havina sababu. basi hata kwa mambo madogo ya nje kwa suala la development aids inakuwa kikwazo? yaani idhini/ ruhusa ya waziri wa fedha wa tanganyika kukubali kurusu znz inufaike na msaada fulani kutoka kwa nchi marafiki inakuwa shida? halafu anapohojiwa anajibu kwa ufedhuli kule bungeni. anapandisha hasira za wazanzibari.
 
Hawawezi kwa kuwa wao si dola!! Katika mikataba ya kimataifa sovereign state ndio inaingia mikataba na si sehemu ya nchi ama mkoa kama ilivyo Zanzibar. Duniani hakuna nchi inaitwa Zanzibar

Natamani karume angefufuka tukamdai nchi yetu aliyoiuza
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
unatia kinyaa, kama ndio kubembeleza ukuu wa wilaya ndio hivyo, Mayala tafuta gia nyengine.
 
Swali la msingi ni hili: Kama Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda TANZANIA, why Zanzibar iishi na Tanganyika ife? Kama ilikuwa ni lazima jina la 'Zanzibar' libaki, kwanini kule asiwepo mkuu wa Mkoa tu na sio Rais mwenye jeshi, katiba na wana bunge na bendera yao? Au huo "urais" ni urais tu kama wa bendi ya Ngwasuma ilhali jamaa ni kama waziri tu?

No wonder mgombea wa urais wa CCM huko Zanzibar ni lazima jina litoke Dodoma ili aisje akapatikana "kachaa" wa kuwachallenge. Tena kuna wakati CCM ilfanya umafia na kurudisha jina la yule alikuwa mshindi wa tatu huko Zanzibar

Na hiyo ndiyo salama yao. kama majina ya rais wa znz yangekuwa yakiteliwa na ccm wenyewe kule zenj, angeweza kutokea mhuni mmoja akasema liwalo na liwe muunganio basi, na hii ingekuwa ni changamoto kubwa kwa SMT. ndo maana huchaguliwa dodoma na huchagua mtu atakayelinda 'kidumu' ili wazznzibari tutawaliwe zaidi.
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
"Waziri Kiongozi" kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya ngapi mkuu inaunda hichi cheo?
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Waweja sana Paskali. Umetufungua macho
 
Mkuu Dega umoja ni nguvu, mwanzo tulikuwa wawili, mkubwa na mdogo, tukaungana tukawa kitu kimoja, mkubwa kawa mkubwa zaidi na mdogo kawa mkubwa. Hakuna anayetaka kuvitwaa hivyo visiwa bali tumekuwa kitu kimoja. Usiangalie changamoto tuu za muungano angalia faida na manufaa ya muungano, kiukweli kabisa anayefaidi zaidi huu muungano wetu adhimu ni visiwani!, angalia maduka ya Wapemba yalivyo tapakaa huku Bara. Zingeletwa takwimu za umiliki ardhi wenzetu mnamiliki ardhi ya bara kuliko ardhi yote ya visiwa vyenu. Karibu nusu kama sio yote ya yale maghorofa ya Kariakoo na Ilala ni ya Wapemba. Angalia ghorofa la Muzamil hapo Darajani Zanzibar ulinganishe na lile la Mtaa wa Kongo hapa Dar.

Angalia biashara za Bakhresa Zanzibar ulinganishe na huku Bara, kiukweli watu wanaofaidika zaidi na muungano huu ni wenzetu Wazanzibari tena baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kama sio muungano saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine.
P

Paskali arguments zako hazina mashiko kbs. Hao wanaomiliki maduka/ mashamba huko bongo ni proportion ya waanzibari wangapi kwenye overall population ya znz? amini mkuu paskali wezenj hawautaki muungano kwa kuwa hauna faida kwao. Ndy pengine una hoja lkn your point of view is short sighted. hao wazenj wanaofaidika na muungano ni less than 10%. kwa hiyo huwezi ukageneralise kuwa tunanufaika zaidi.
 
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
JMT ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar poti, mbona siku hizi unaniangusha sana? Hii Tz na visiwani wapi na wapi?
 
JMT ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar poti, mbona siku hizi unaniangusha sana? Hii Tz na visiwani wapi na wapi?
Mkuu Ulimakafu, muungano ni ulikuwa kati ya nchi hizo, wakati tunaungana, baada ya muungano Tanganyika ikafa, hivyo kwa mujibu wa katiba, Tanganyika haitajwi tena inaitwa Tanzania Bara.
1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.
2.-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la
Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni
pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania
inapakana nayo.
P
 
Very painful indeed. Mjue kwa sisis tunapenda sana nchi yetu ya znz na hata tukiwaa nje tunajitambulisha kama wazanzibari na sio watanzania.
Kujitambulisha vyovyote ni ruksa, hata mimi humu ndani kwangu naweza kujiita mfalme Pasco wa Pasco kingdom lakini mwisho ni getini. Utambulisho wa kimataifa ni kupitia passport, hivyo endeleeni kujitambulisha kama Wazanzibari kwa raha zenu na kujifurahisha tuu ila uraia ni wa JMT pekee, na passport zote ni za Tanzania pekee, huwezi kujaza fomu yoyote ya uraia na kujiita Mzanzibari kwasabu kimataifa hakuna nchi inaitwa Zanzibar!.
P
 
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?

Uzi tayari

Zanzibar ni nchi ndani ya Tanzania tu kisiasa lakini sio nchi inayo tambulika Umoja wa Taifa. Tanzania ni pamoja na Zanzibar. Ningeshauri Zanzibar iwe kama sehemu nyingine Tanzania
 
Mbona Vijana mnakosa adabu hakuna Nchi inaitwa Zanzibar
Tanzania ni moja tu chungeni maneno yenu
Kusema ukweli tuwape wazanzibar nchi yao kwani sisi waccm tutapungiwa nini ?
Tukiwapa Zanzibar wajitegemee?
CCM sisi ni hovyo haijawahi tokea Dunia tangu kuumbwa.

Naenda kuchomoa betri kwa ajili ya uchumi wakati.
 
Kwi kwi kwi kwi hahahaaa

Kwa hiyo ndugu paskali unamaanisha kuwa kama maalim Seif wa ACT akikamata dola atakuwa anaingia kwenye vikao vya BM, hahahaaa. Nadhan huu n ukakasi na n vgumu vyama viwil tofauti kutawala. Kwa style hii n lazima chama kinachoongoza bars kiongoze na visiwani. Hizi ndio hasa Keri za muungano.
Ndio maana hawezi kuwa!.
P
 
Back
Top Bottom