Zanzibar ni member wa SADC?

Zanzibar ni member wa SADC?

Mkuu Ulimakafu, muungano ni ulikuwa kati ya nchi hizo, wakati tunaungana, baada ya muungano Tanganyika ikafa, hivyo kwa mujibu wa katiba, Tanganyika haitajwi tena inaitwa Tanzania Bara.
1. Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.
2.-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la
Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni
pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania
inapakana nayo.
P
Tanganyika ikafa ila Zanzibar ikabaki, au kangara imeharibu ubongo wangu?
 
Hili hata Nguli wa sheria watakubaliana nami kuwa halipo sawa.... Yeye anaingia kwenye baraza kwa nafasi yake kwa mujibu wa ibara ya 54(1) huo uwaziri anaopewa unamaana gani? Kuapishwa si shida ila shida Ni huo uwaziri.....
Ni Kama AG angeapa pale mjengoni kuwa mbunge asiye na Jimbo maalumu
Mkuu
kiukweli you have a very valid point, maadam ibara ya
54.-(1) imetamka wazi kuwa "Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote".
Hii inamaanisha Rais wa Zanzibar anaingia kama mjumbe kwa urais wake wa Zanzibar, kulikuwa hakuna tena haja ya kumdogosha na kuapisha kama waziri ndipo ahudhurie!, ila pia kwa maoni yangu, hiki ndicho kipengele kinachofanya yanayofanyika Zanzibar yafanyike, ikitokea chama kingine kikashinda Zanzibar, kiongozi huyo atapaswa kuhudhuria cabinet ya JMT, na hapo ndipo kwenye ugumu na ndio maana....
P
 
Tuwe wakweli sheini pale aliingia kama makamu wa rais mstaafu mithili ya bilali alivyoingia pale. Kwenye vyeo vya jamhuri ya muungano Shein hana mamlaka yoyote. Huo n urais ambao hauna mamlaka.
Kama Rais wa Bao?
 
Mkuu
kiukweli you have a very valid point, maadam ibara ya
54.-(1) imetamka wazi kuwa "Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe
wake watakuwa ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Rais wa
Zanzibar na Mawaziri wote".
Hii inamaanisha Rais wa Zanzibar anaingia kama mjumbe kwa urais wake wa Zanzibar, kulikuwa hakuna tena haja ya kumdogosha na kuapisha kama waziri ndipo ahudhurie!, ila pia kwa maoni yangu, hiki ndicho kipengele kinachofanya yanayofanyika Zanzibar yafanyike, ikitokea chama kingine kikashinda Zanzibar, kiongozi huyo atapaswa kuhudhuria cabinet ya JMT, na hapo ndipo kwenye ugumu na ndio maana....
P
Nimekuelewa sana mdadavuji
 
Tukiamua kuwarudisha wapemba huko visiwani..nchi yenu itajaa sijui mtaishi Vipi

Ukweli ni kwamba Zanzibar inanufaika zaidi na muungano kuliko bara
Very painful indeed. ujinga wa karume umetufanya wabara wanatudharau namna hii. Nafikiri kizazi kijacho hakitavumilia uhanithi huu. Watanganyika lazima mjue kuwa waznzibari hatukuutaka muungnao huu. Ni woga na upubavu wa karume ndo ulotukisha hapa. Mjue kwa sisis tunapenda sana nchi yetu ya znz na hata tukiwaa nje tunajitambulisha kama wazanzibari na sio watanzania. ccm walio wachache znz ndio wanaokusaidieni kutudhalilisha na kutututawala. Ukoloni ktk ubora wake.
 
Yaani znz huina mamlaka hata ya kulala na mkeo mpak uombe ruhusu kwa mkoloni tanganyika . Hasara iliyoje?

Hata kukohoa huwezi mpka uombe ruhusu kwa Mipango waziri wa fedha wa tanganyika naye anaweka ngumu kwa lenye maslahi na znz. Lanatullah.

Mkuu unatia chumvi Mbona wanzazibar wameoa sana bara
Acha visingizio vya uongo wajibika

By the way Zanzibar inafaidika zaidi na muungano Kuliko bara
 
Ni ajabu , kwa sbabu karume alikuwa baharia tu hakuwa na hata darasa moja alilosoma wakati mwenzake nyerere alikuw na intellectual capital kubwa ya kumshawishi huyu mhuni.


Tujifunze kuheshimu wazee wetu
Walifanya kazi kubwa
 
Hiiiii! MAARIFA YA JAMII, CIVICS, GS, DS, bado watu hawaelewi kwamba rais wa Zanzibar ni sehem ya Tanzania!!
Mungu atusaidie.
 
Hivi nchi zinazounda Tanzania Ni (Tanganyika na Zanzibar?) Au Ni (Tanzania Bara na Tanzania Visiwani) mnieleweshe
 
hizi ndio kero za muungano , kama zanzibar iliungana na Tanganyika na bado ipo je Tanganyika iko wapi ? au Tanzania ndio Tanganyika , kwanini ? ndio maana wazanzibar wanataka kero zitatuliwe , kumbuka wanasema Zanzibar ni Nchi , ina bendera na wimbo wake wa Taifa , sasa kinachoitwa muungano ni nini ?
Na hii ndo sababu wanzanzibar husema "Wana Jambo lao" hivi mnajua Ni lipi? Uhuru wa wao kamili
 
Back
Top Bottom