Nyie endeleeni tu kukereka, Zanzibar haiwezi kuwa mwanachama wa SADCMsilete kujuana kwenye mali za watu , Sadc si mali ya ccm , ni mali ya nchi wanachama tu , Zanzibar haimo , hizi ndio kero za Muungano , ni kama vile mlivyoihujumu Zanzibar kule CAF
ana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Zanzibar
nchi ambayo imetekwa na kudumazwa na adui ambaye kabla ya kuiteka alikuwa anafuata bidhaa zake huko !
Adui ambaye kagoma hata kulipa zile 4.1 trilioni alizompora mateka huyo..
Adui ambaye kateka hadi wananchi wa nchi hiyo..masheikh wa uamsho !
Sasahivi nasikia anateka hadi raia wake akina Azori, Ben
BLACK KIDNAPPER !
Rais wa Tanganyika ni nani kwa sasa ?HABARI
DR.SHEIN AAPISHWA RASMI KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI BARA
02/05/2016
Jumatatu, Mei 2, 2016
JAJI MKUU wa Tanganyika,ambae alikuwa mgombea urais wa chama chake cha CCM Mohamed Chande amemuapisha Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Sheni kuwa ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la nchi hiyo, leo katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Viongozi kadhaa wa Tanganyika, walishuhudia tukio hilo, akiwamo Rais wa nchi hiyo, Dk John Magufuli, Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.
Aidha, Rais Magufuli, baadaye mchana aliongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri akiwamo Dk Shein, kama WAZIRI asiyekuwa na Wizara Maalumu, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Rais TAMISEMI, mjini Dodoma.
Dr. Shein anakuwa na heshima ile ile ya Nape Nnauye ila yake ni ya chini kidogo kwa kuwa yeye ni mjumbe tu na pia hana wizara l
Kujitambulisha vyovyote ni ruksa, hata mimi humu ndani kwangu naweza kujiita mfalme Pasco wa Pasco kingdom lakini mwisho ni getini. Utambulisho wa kimataifa ni kupitia passport, hivyo endeleeni kujitambulisha kama Wazanzibari kwa raha zenu na kujifurahisha tuu ila uraia ni wa JMT pekee, na passport zote ni za Tanzania pekee, huwezi kujaza fomu yoyote ya uraia na kujiita Mzanzibari kwasabu kimataifa hakuna nchi inaitwa Zanzibar!.
P
Mayala uko vizuri unasema ukweliRais wa Tanganyika ni nani kwa sasa ?
SawaMayala uko vizuri unasema ukweli
Mjumbe wa Cabinetana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Alafu wewe umesoma sheria...duuh ebu tupe ibara inayomtamka kua ni moja ya wa viongizi wakuu wa tano wa JMTTanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Mtaji wa CCM ni ujinga wenuAlikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
Nitafungua darasaAlafu wewe umesoma sheria...duuh ebu tupe ibara inayomtamka kua ni moja ya wa viongizi wakuu wa tano wa JMT
Asante , kwahiyo kumbe Jamhuri ya Watu wa Zanzibar si mwanachama wa SADC na ndio maana Ndugu Shein hawezi kuhudhuria mkutano wowote wa SADC nje ya nchi .Ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri
Kuna kero ya muungano hapa.Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
P.
- Rais wa JMT
- Makamo wa Rais
- Waziri Mkuu
- Rais wa Zanzibar
- Makamo wa Zanzibar
Shein yupo hadi saiv au kamaliza mda wake?About 8 years ago....
Acha unoko wewe nani kakwambia shein kahudhuria kama zanzibar mwanachama. Mbona huulizi kama mwinyi mkapa kikwete wamehudhuria kama nani. Hukuona viongozi wengi tu wa tz walikua pale ukumbini kama waalikwa. Halafu ujumbe wa tz mkutano sio rais wa jamhuri peke yake tu wapo pia kutoka zanzibar.Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Aha unoko wrewe nani kakwambia shan kahudhuria kama zanzibar mwanachama. Mbona huulizi kama mwinyi mkapa kikwete wamehudhuria kama nani. Hukuona viongozi wenfi tu wa tz walikua pale ukumbini kama waalikwa. Halafu ujumve wa tye mkutano sio rais wa jamhuri peke yake tu wapo pia kutoka zanzibar.
Hasira za nini, tulia uandike vizuri.... kisha jibu hoja mezani ‘Shein alihudhuria kama nani’ bila kutaja hao wengine hujaulizwa.
ulimuona mbele kwenye meza ya viongozi wa nchi wanachama?Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari