Mkuu ni kweli hili ni suala la aibu. Lakini kwanini askari akamatwe wakati amiri jeshi mkuu kahalalisha? Tena kaiita hela ya kubrashi viatu?Huyo my mtalii atafutwe serikali I apologise na arudishiwe pesa yake na huyo askari akamatwe haraka sana Kwa ustaarabu WA nchi za wenzetu huo ni unyama na amefukuza si chini ya dozen ya watalii ni aibu sana
Huyu apandishwe cheo kama yule aliemkamata mke wa balozi MaigeAskar kamtoa upepo mzungu ahaha anastahili kupanda cheo
[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] #corruption#Zanzibar [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.
Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.
(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.
But the money went straight into his pocket.
By Pete Taylor
Hivi unajua sheria ya rushwa? Huyo kala rushwaHana kosa...na hatofukuzwa..

Takukuru haifiki kule zanzibar wanasema mwisho chumbeKuna mtu aliwahi kuuliza hapa jukwaani kuwa ni usiku gani umewahi kuwa mfupi sana, naona huyu ndugu saa hizi itakuwa ni saa 11 alfajiri
Je Takukuru Mnayaona haya!? je mnashindwa nini? kama wageni wameweza kumtega na kumnasa huyu mmoja? Je nanyi tuwachukulie ni walewale?
Nchi hii imeoza from family level, wilaya had kitaifa watu hawana maadili wala nidhamu, na police wenyewe wanaona rushwa ni haki yao ukikataa wanakubambika makosa na ukigoma wakuweka ndani. Sio police tu kuna rushwa ni kila sector.Wenzetu nchi zilizopiga hatua hufundisha watoto "Ethics"
Linakuwa ni somo kabisa darasani.Sisi tunaweza weka "topic" tu ktk DS au GS vyuoni na shuleni.
Ili kuwapa nafasi vijana kujifunza misingi ya maadili.Chuo Kikuu cha Ruaha Iringa walikuwa na Course ya Ethics...akifundisha Dr Padre J.Muhume.Sijajua kama bado ipo mpaka sasa.
Hii inamjenga mtu kuwa na maadili,nidhamu na hata dhamira kali(Sharp Counciousness(?)) anapotaka kuvunja maadili.Swala la maadili sio la kulala na kuamka,its a long run process of building it inside pple's mind and hearts.
Ndio maana mzungu anashangaa,umemuomba rushwa na bado unampa mkono?wakati mkono ni ishara ya upendo,urafiki na uungwana.Anasahau Afrika Rushwa ni sehemu ya "msaada",mtoa rushwa huona kama amesaidiwa nq mpokea rushwa kuipata haki yake.Kila kuchwao,Jambo jipya huzaliwa Afrika.
Walisharuhusiwa hiyo ni hela ya kubrash viatuWatu wengine mnashangaza sana, sasa wewe kama unaishi kijijini kero za traffic utazijulia wapi?
Maana kama unaishi mijini hata kama huna gari yako ukipanda daladala utaona tu manyanyaso wanayofanyiwa madereva na hawa wapenda rushwa.