Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Hapata hio sio rushwa ni hela ya polish ya viatu...mkuu karuhusu...bila ya hio watatu kamua saa ngapi kutimiza kodi ya trafic?
Tumeliwa tu miaka hii mitano ni kukamuliwa tu
Matamko Yanakwendaje Huko
Ally Wa Mahonda Anatafuta Kiwi
 
Daaah!! Yaani readyhanded!! Hahahaaa,ila nna mashaka. Kama aliyepiga hiyo picha hataingia matatani! Si mnakumbuka yaliyompata Jerry muro alipowafumania mapoti wakikwarua mrungura? Alipachikwa vikesi visivyo na idadi! Mara pingu mara bastola mara bunduki mara----Hatari sana.


Kuna mtu aliwahi kuuliza hapa jukwaani kuwa ni usiku gani umewahi kuwa mfupi sana, naona huyu ndugu saa hizi itakuwa ni saa 11 alfajiri

Je Takukuru Mnayaona haya!? je mnashindwa nini? kama wageni wameweza kumtega na kumnasa huyu mmoja? Je nanyi tuwachukulie ni walewale?
 
Du maskini! Huyu askari anavyoonekana mchovu, halafu kazi hana kuanzia kesho. Da naionea huruma familia yake. Wait a moment, by the way, hii video ni latest kweli? Isije ikawa ya three years ago labda na askari mwenyewe ashadedi labda!
 

[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] #corruption#Zanzibar [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.

Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.

(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.

But the money went straight into his pocket.

Poti matatani lkn ametumia weledi Mdogo so angewasubiri nyuma ya gari hili Dereva ashuke.daah family yake labda km na mke anapiga mzigo km mkaa kibarazani mhhhhh!
 
Daaah!! Yaani readyhanded!! Hahahaaa,ila nna mashaka. Kama aliyepiga hiyo picha hataingia matatani! Si mnakumbuka yaliyompata Jerry muro alipowafumania mapoti wakikwarua mrungura? Alipachikwa vikesi visivyo na idadi! Mara pingu mara bastola mara bunduki mara----Hatari sana.
Nyakati zimebadilika
 
Daaah!! Yaani readyhanded!! Hahahaaa,ila nna mashaka. Kama aliyepiga hiyo picha hataingia matatani! Si mnakumbuka yaliyompata Jerry muro alipowafumania mapoti wakikwarua mrungura? Alipachikwa vikesi visivyo na idadi! Mara pingu mara bastola mara bunduki mara----Hatari sana.
No hana shida alorecord hii ishu haiwez kua kbwa ka ya Jerry M. Sema afande ndo baaas tena[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Anasema "You are educated man" [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Mwacheni Mwenzenu, Mna Uhakika alichukua zaidi ya Tsh 5000, Si Mnakumbuka, Mh. Magufuli alishasema Tsh 5000 ya Kupakia Kiatu rangi sio Rushwa?Na hata Kama amechukua Tsh 60,000 Unaweza Ukakuta wako 12, wenzake akaenda Kuwakatia Tsh. 5000 si atakuwa amesevu? Amakwali Hii Ndiyo Tanzania Ninayoitaka, Kwa Spidi Ninayokwenda nayo hii heeee!

Hujaziona albino zile kazikunja faster daah rijamaa iri rimechukua Mpunga poti rinatakakia turiarest sasa ivi
 
RUSHWA IMEKITHIRI SANA.......YOTE KWA SABABU YA NJAAA..

OVA
 
Kwa Muda mrefu tulikuwa tunajua Polisi wa usalama barabarani ndio wenye jukumu la kusimamia sheria za barabarani,na ndio maana hata mavazi yao ni meupe ili madereva wawaone kwa urahisi.Lakini katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia karibu Polisi wote hata wale tito ndio wamekuwa wakiongoza magari au kuyakagua ilihali wakiwa hawajui hata sharia za barabarani.mimi nauliza wadau jambo hili wanalifanya kwa nia njema au kuna mabadiliko katika katika taratibu za kazi zao?

Nawasilisha
 
Ni mkoa gan au barabara gan mkuu, tukio la mtaa mmoja lisiwe la nchi nzima
 
Back
Top Bottom