Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Samahani mkuu , upo serious au ndio mambo yenu wasomi ya sarcasim
Niko serious tena sana,kwani hichi alichokifanya huyu mzungu ni cha kishenzi sana, kwao hawezi kumtega polisi kama alivyomfanyia huyo polisi wa TZ ZNZ
 
Kabla ya kumuadhibu yule askari tuanze na uchunguzi wa yule mswahili aliyekuwa anaongea na askari. Ni raia wa wapi, wale wageni walitoka wapi kabla ya kuja Tanzania, baada ya pale waliekea wapi na kwa nini hawakutoa malalamiko yao kwenye mamlaka husika. Kama wana ushahidi juu ya lalamiko lao kutosikilizwa hapo waweza kuwa na haki ya kufanya walichofanya. Kwangu mimi naona ni kampeni mbaya. Askari wafaa kuwa makini.
 
Kachukua ya kubrashia viatu ila ya mwaka mzima!hahahah,
No problem,we have more complex and big issues than this but rest assured that he will be in trouble.
 
Kabla ya kumuadhibu yule askari tuanze na uchunguzi wa yule mswahili aliyekuwa anaongea na askari. Ni raia wa wapi, wale wageni walitoka wapi kabla ya kuja Tanzania, baada ya pale waliekea wapi na kwa nini hawakutoa malalamiko yao kwenye mamlaka husika. Kama wana ushahidi juu ya lalamiko lao kutosikilizwa hapo waweza kuwa na haki ya kufanya walichofanya. Kwangu mimi naona ni kampeni mbaya. Askari wafaa kuwa makini.
Uchunguzi wa nini kwa huyo mswahili? Kwanza anatakiwa apewe zawadi kwa kufichua maovu ya hawa jamaaa
 
Kabla ya kumuadhibu yule askari tuanze na uchunguzi wa yule mswahili aliyekuwa anaongea na askari. Ni raia wa wapi, wale wageni walitoka wapi kabla ya kuja Tanzania, baada ya pale waliekea wapi na kwa nini hawakutoa malalamiko yao kwenye mamlaka husika. Kama wana ushahidi juu ya lalamiko lao kutosikilizwa hapo waweza kuwa na haki ya kufanya walichofanya. Kwangu mimi naona ni kampeni mbaya. Askari wafaa kuwa makini.
Ndiyo mukome na njaa zenu hizo
 
Hatua kali za kinidhamu lazima zichukuliwe kwa huyo askari wa Jeshi la Polisi.
 
[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] [HASHTAG]#corruption[/HASHTAG] [HASHTAG]#Zanzibar[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.

Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.

(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.

But the money went straight into his pocket.

By Pete Taylor

Allowance for shoe shine has been allowed officially 5k and so on, so nop on that.
 
Kabla ya kumuadhibu yule askari tuanze na uchunguzi wa yule mswahili aliyekuwa anaongea na askari. Ni raia wa wapi, wale wageni walitoka wapi kabla ya kuja Tanzania, baada ya pale waliekea wapi na kwa nini hawakutoa malalamiko yao kwenye mamlaka husika. Kama wana ushahidi juu ya lalamiko lao kutosikilizwa hapo waweza kuwa na haki ya kufanya walichofanya. Kwangu mimi naona ni kampeni mbaya. Askari wafaa kuwa makini.
Umelogwa nini wewe...? Uchunguzi wa kitu gani angali tukio liko wazi...Huyo raia kwanza anatakiwa kupongezwa kwa kitendo cha ushujaa alichokifanya....
 
Waziri wa Mambo ya Ndani nadhani atakuja kukanusha na kusema Mkuu alikuwa anatania...
Kwani na askari alichukua kweli? Itakuwa aliombwa kuigiza filamu na hao jamaa katika kipengele cha askari akipokea rushwa, sema hawajaonyesha alipowarudishia tu.
UTANI UNAENDELEA...
 
Back
Top Bottom