Sasa kama ni Dar kwa nini unalifanya la kitaifaHapa Dar kazi ndio hiyo.
Dah ht mimi kitu cha kwanza shida anaanza kwa familia yake,na age yake ilivyo lazima ana familia kubwa,,,,namuonea huruma saaanaDuuuu huyu ndio kazi hana tena! Dah naionea huruma familia yake.
Hiyo video ni ya kutunga?wafanyie kazi udhaifu wa watu wao,hiyo ni changamoto inetolewa na ujumbe ulionyooka kuwa rushwa inaliwa.
Kwa akili kama zako hata mtu akiona uhalifu hawezi kuliambia jeshi la polisi maana watamuuliza"ulijuaje',ilijuwaje ukaona,badala ya kuchukua taarifa na kufanyia kazi,unamuumiza mtoa taarifa.
Pole kwa kugongwa kwa nyuma ,ajali mbaya hii sana maana hutegemei unashtuka tu kitu tayari bora kugongwa kwa mbele unaweza katisha upande mwingine kuepuka madharaUjumbe umewafikia nilishawai kugongwa kwa nyuma traffic kahongwa,msajili Wa kesi kahongwa adi hakimu kaongwa nilivyokundua inshu kilichofuata walijuta wote na kunipigia magoti na mpaka mahakama kinondoni wahendesha mastaka walihamishiwa kwenye ukumbi sababu ya kesi yangu walinidharau eti mwanamke hakimu mzembe jina kapuni kisa mchaga mwenzake .najua wanaikumbuka kesi hii
[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] #corruption#Zanzibar [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.
Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.
(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.
But the money went straight into his pocket.
By Pete Taylor
Bora huyu mzungu asirudi zanzibar,hatutaki watalii kama hawa,ukiangalia hii vidio kwa makini utaona kuwa huyu mzungu kafanya kila njia ya kumshawishi na kumtega huyu polisi achukue rushwa,je hicho kitendo cha kutoa pesa na kuziweka mkononi anaweza kufanya mbele ya polisi huko anakotoka,jibu hawezi,kwanini kamfanyia huyo polisi.''You spoil the whole day, I'll never come to Zanzibar again'' so so sad, Mzungu kamaindi sana afu jamaa anacheka...
This is Tanzania........
Samahani mkuu , upo serious au ndio mambo yenu wasomi ya sarcasimBora huyu mzungu asirudi zanzibar,hatutaki watalii kama hawa,ukiangalia hii vidio kwa makini utaona kuwa huyu mzungu kafanya kila njia ya kumshawishi na kumtega huyu askaei achukue rushwa,je hicho kitendo cha kutoa pesa na kuziweka mkononi anaweza kufanya mbele ya polisi huko anakotoka,jibu hawezi,kwanini kamfanyia huyo polisi.
Huyu mzungu ameshachoka kuwauwa watu weusi marekani kaamua kuja kuwatega na kuwanyanyasa waafrika barani kwao na waafrika kama kawaida yetu tunatoa meno tunakenya kwa jinsi tulivyokuwa wajinga.
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wakosa...