Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

Nimejaribu kuitizama hii clip kwa umakini Mkubwa....

Nimegundua Askari wetu hakuomba Rushwa isipikuwa hawa jamaa walidhamilia kumpa pesa na kutegesha mapema ili ionekane Askari anaomba Rushwa....Sijaona sehemu yoyote akisema wampe Hiyo pesa......Askari hana kosa
haionekani akiomba Rushwa ila anaonekana akiwaambia Huko mbele ya safari wakisimamishwa waseme Leseni yao Inashikiliwa na Kituo chake, Ili wasisumbuliwe zaidi. Na Mzungu alioomba Risiti, yule mwanamke wake alimzima! Inaonekana walianza Kumrekodi baada ya yeye kuomba na wao kumpa Rushwa!
 
haionekani akiomba Rushwa ila anaonekana akiwaambia Huko mbele ya safari wakisimamishwa waseme Leseni yao Inashikiliwa na Kituo chake, Ili wasisumbuliwe zaidi. Na Mzungu alioomba Risiti, yule mwanamke wake alimzima!
Unajua tuache unafiki na uzandiki........maswali ya msingi ya kujiuliza.

Katika suala LA Rushwa linapitia katika sehemu tatu ya kwanza ni Kushawishi.......kuomba na kupokea je askari kufanya haya yote.... Wale walichofanya wao ni kuongea nae na kumpa pesa hii issue haiana mashiko......Askari asichukuliwe hatua..
 
Natamani mitandao ya kijamii aje malaika aizime kwa mwaka mmoja.
Hii itatusaidia kuficha uozo wa watendaji wa serikali. Waendelee kupokea hela za kubrash viatu sirini.
Hii ndiyo serikali yetu.
 
Kama ni kweli huyo askari kapokea basi hii aibu siyo ya CHADEMA, CCM wala CUF ni ya watanzania wote, naomba tuungane wote kulaani kitendo hicho, hata wabunge kuna mambo huwa wanakuwa kitu kimoja.
 
hakuna cha maisha magumu katikati ya kila mwezi kuna laki 3 ambayo haikatwi kodi japo ni jambo la kusikia sina uhakika nalo, bado mshahara kwa nini MTU asiridhike? hili jambo wote tulikatae watanzania wote.
 
Mh Mwigulu Nchemba,uliapa kuitetea katiba na kuilinda.Rushwa ni adui wa haki,
Tunakutaka uchukue hatua za kinidhamu
 
Nimejaribu kuitizama hii clip kwa umakini Mkubwa....

Nimegundua Askari wetu hakuomba Rushwa isipikuwa hawa jamaa walidhamilia kumpa pesa na kutegesha mapema ili ionekane Askari anaomba Rushwa....Sijaona sehemu yoyote akisema wampe Hiyo pesa......Askari hana kosa
Mbona alipookea.
 
Wenzetu nchi zilizopiga hatua hufundisha watoto "Ethics"
Linakuwa ni somo kabisa darasani.Sisi tunaweza weka "topic" tu ktk DS au GS vyuoni na shuleni.
Ili kuwapa nafasi vijana kujifunza misingi ya maadili.Chuo Kikuu cha Ruaha Iringa walikuwa na Course ya Ethics...akifundisha Dr Padre J.Muhume.Sijajua kama bado ipo mpaka sasa.

Hii inamjenga mtu kuwa na maadili,nidhamu na hata dhamira kali(Sharp Counciousness(?)) anapotaka kuvunja maadili.Swala la maadili sio la kulala na kuamka,its a long run process of building it inside pple's mind and hearts.

Ndio maana mzungu anashangaa,umemuomba rushwa na bado unampa mkono?wakati mkono ni ishara ya upendo,urafiki na uungwana.Anasahau Afrika Rushwa ni sehemu ya "msaada",mtoa rushwa huona kama amesaidiwa nq mpokea rushwa kuipata haki yake.Kila kuchwao,Jambo jipya huzaliwa Afrika.
 

[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] #corruption#Zanzibar [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.

Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.

(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.

But the money went straight into his pocket.

By Pete Taylor

Don't blame a lot, Mtukufu alisema wapewe pesa ya kubrashia viatu.
 
Mkuu, kama una face book basi ifungulie kweny facebook, ipo imeeneahuko!!
Huyo my mtalii atafutwe serikali I apologise na arudishiwe pesa yake na huyo askari akamatwe haraka sana Kwa ustaarabu WA nchi za wenzetu huo ni unyama na amefukuza si chini ya dozen ya watalii ni aibu sana
 
Sio mbaya ni pesa kwaajili ya kusafishia viatu kama walivyoruhusiwa na mkulu
 
Back
Top Bottom