Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

vipi hakuna mtu kasikia hili jipu uchungu limetumbuliwa ?
 
Muono Wangu na Angalizo kwa wa Tanzania
Sitetei kosa la afande alilofanya,hili ni kosa kubwa na haki ichukue mkondo wake,na hii sio kwamba ni kwa polisi wote.

Mgongano wa kimaslahi:Utalii wa Kenya na Zanzibar(Tanzania)
Hii issue kwanza tujue waliohusika ni Raia Wakenya,maana huyo mama ni Mkenya na huyo mzungu ana relate Kenya.

Na ukitembelea Kenya hasa ukienda Mombasa hata Nairobi na hata ukisikia BBC na DW na pia from Kenya`s Tour Operators and Travel Agents na raia wa Kenya wanasema kwamba utalii kwao Kenya umeshuka sana na Wageni wengi wanaenda na kukimbilia Zanzibar.Na Mfaham kwamba Mombasa na Zanzibar zina Compete kwenye Utalii wa Ukanda wa Pwani,na hata Zile Groups Charter Flights kama Condor(German),Eurofly Meridiana(Italy),Neosair(Italy),Mango Flight(South Africa),Jetairfly etc,hizi ni non stop direct groups Charter flights ambazo zime locate ukanda wa Pwani Zanzibar ikiwemo na inafanya vizuri sana.

Sasa wakenya ni Wajanja sana kwenye fitna za biashara na kuharibu.
Maana Kenya wao wanaongoza kwa Rushwa kwa ukanda wetu.
Narejea sitetei rushwa,ila lazima Watanzania tuwe na akili za kuchambua.

Clip:
-Ukitaka kujua huu ni mpango,fuatilia clip,haionyeshi ni nani alianza mazingira ya kuonyesha kutoa au kutaka Rushwa na kwa kiasi gani.
Wameikata Clip,na hii ni kwamba itakuwa wao ndio walianza kushwawishi rushwa ili wafanye wanalolitaka.Ni muono wangu

-Na ukifuatilia kwa makini utaona ni kwamba ilikuwa ni mpango maalum,na Kauli ya yule Mzungu anasema eti "Sinto kuja tena Zanzibar",sasa hii ndio kiki yao,ili iharibu utalii Tanzania,inamaana huko Kenya wanakotoka sio ndio balaa kwa Rushwa

-Halafu kiki nyingine ya kuharibu Utalii Zanzibar-Tanzania kwa watu hao,ni pale video eti inamuonyesha sura yule Mzungu eti watu na Dunia ijue kwamba ni Mzungu na amesema hatokuja tena Zanzibar ili wenzie wajue kweli Zanzibar na Tanzania sio sehem nzuri kwa wageni.

Ajabu:Self Driving
Kwa kawaida na kama mtu ambae nimepitia huko
Kwamba mgeni yoyote anepewa gari kwa Self Driving huwa na mkataba na aliemkodishia gari,ikiwemo kuangalia license,na kumuombea kibali pia kuwa na copy ya passport yake.

Na mwenye gari humpa namna na njia za uendeshaji wa gari kwa Zanzibar na sheria zake.Na kubwa zaidi tena hili kwa wageni bila hata kuambiwa afunge mkanda,basi Wageni wanakuwa makini sana Kufunga mkanda.Na cha mwanzo wakati wa kukabidhi gari husisitiza hili pia la Mkanda,na hii sheria kwa Zanzibar imekaziwa saana maana hata wenyeji inawakuta sana na ilitusumbua sana mwanzo,lakini leo Zanzibar watu karibia wote tunafunga mikanda front Seats mpaka kwenye Daladala,Helmets kwa wenye Pikipiki imefanikiwa kwa kiwango cha hali ya juu saana.

Nionacho mimi,sio kwamba hao walikuwa hawajui kwamba wanatakiwa kufunga Mikanda,maana hamuwezi kusahau nyie woote kwa umbali huo mpaka Mnafikia Mkokotoni.Ila ilikuwa ni Lengo la Kujua na kuweka mazingira ya namna ya kuitengeneza hii kiki
-Sasa nionacho mie ni kwamba Rushwa walianza kuinadi hao Wageni,na ndio maana Clip ya video wameikata na kuonyesha upande unaowaonyesha wao kwamba ni weema saaana.

Kosa kwa Askari lipo,lakini Watanzania nao tuwe Macho,tunashabikia kitu huku tunaumia wenyewe kwa faida ya Wengine,Acha Serikali na sheria ichukue mkondo wake kwa Askari,lakini pia Jeshi liwachunguze na wahusika hasa kwa Masuala ya Maslahi ya Kibiashara.

Kama Boss kubwa wao alienda Ulaya ili kuzuia Bomba la Uganda,hao wengine hawashindwi nao kufanya yao.
Wanatabia ya kuanza kidogo kidogo ili kuangalia kiki inakuwaje,then wataingia kwenye Makubwa ili kuhakikisha kwamba Wanaboost Utalii wa Kenya na kuona kwamba kwao ndio Salama zaidi na Hakuna rushwa.na ndio maana kuna Kiki huyo Mzungu anasema kwamba Sinto kuja tena Zanzibar,sasa hii itaingia kwenye Travelers forums ili kuitia Doa Tanzania kwa sio sehem ya kuja na kutembelea.

Angalizo:
Huu ni muono wangu,watu hawa wanambinu nyingi saana.Na ndio maana Clip wameikata,lakini Je nani anajua kwamba nani alianza kuhamasisha Rushwa?na nani alitaja kiasi hicho cha Pesa?

Maana kama wangekuwa na nia njema na msimamo,basi kituo pale kipo karibu sana,Wangeenda kulipia faini pale na kupata muongozo,ifahamike kwamba sio kila kosa lazima mtu alipe faini,kuna maonyo kadhaa mtu hupewa,sasa wangefika kituoni wangepewa onyo tu kama wageni.

Na Askari wengi sana Wanafanya haya na kuwasaidia wageni kuwapa Muongozo,na ndio maana hata mgeni akipotea njia basi anenda kwa Askari na askari kumsaidia kumpa uelekeo.

Napongeza Sana Jeshi la Polisi kwamba Askari wengi vijana waliongia Sasa wanongea Kiingereza ambapo imekuwa ni Msaada mzuri sana kwa Wageni kupata muongozi na msaada wa haraka.

-Na hata hivyo,kuna kitu onyo,ambapo unaweza tu kuambiwa funga mkanda kisha traffic akakuachia na wengi tunafanyiwa hivyo,maana sote binaadam.

Tuweni makini wa Tanzania,mitego mingine tuwe makini.Tuhukum kwa Askari ila pia tuangalie undani wa Suala lenyewe.Maana hata kwao Kenya angetaka kurecord askari wakule naona angewanasa kwa mamilioni.

Ila kwa vile alikuwa kwa Issue maalum ya kuharibu basi akaona afanye hapa Zanzibar-Tanzania,na ndio maana aliikata clip yake ili tusijue nani alianza kuweka mazingira ya kushawishi rushwa.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Umenikosha mno. Nitakutafuta inbox.
 
[HASHTAG]#ZanzibarPolice[/HASHTAG] [HASHTAG]#corruption[/HASHTAG] [HASHTAG]#Zanzibar[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]

Although Zanzibar was a beautiful place to visit, officials were trying to take bribes from the moment we landed (like the Yellow Fever scammers in Arrivals, then the car hire scammers in the airport car-park). That may explain my frustration at the end of this video.

Although I had a valid ‘Foreigners Driving Permit’, OFFICER ALI here – of the Police Post in Mahonda – stopped us at his roadblock on the second day and demanded a $40 bribe to allow us to drive on. After a long debate, he pockets 60,000 Tanzanian Shillings (about $28) without a receipt – and still tries to shake my hand.

(For those commenting that we should not have paid, the other option was to wait there for TWO DAYS until after Eid, and then pay a court official!) The offence was not carrying my national driving license, even though I had already shown it to get the Zanzibar 'Driving Permit'.

But the money went straight into his pocket.

By Pete Taylor

UPDATE;

Askari aliyepokea Rushwa akamatwa, habari zaidi soma=>Askari aliyedaiwa kuchukua rushwa kwa raia wa kigeni atiwa mbaroni

tunaendelea na vita dhidi ya rushwa.
 
yule mzungu aliapa haji tena zanzibar...................
hawa polisi wa tz ni kaz kwelikweli
 
Habari zisizo Rasmi:
Tukio sio la juzi,Lilitokea kabla ya Sikukuu ya Eid.

Hapo tungeomba tupewe taarifa kamili,ikiwemo kuangalia mkataba wa aliemkodisha gari na jeshi la polisi lije na Taarifa Kamili juu ya siku maalum ya tukio husika.Na pia kuangalia Migration pale Airport au Seaport kujua lini waliingia.
 
Muono Wangu na Angalizo kwa wa Tanzania
Sitetei kosa la afande alilofanya,hili ni kosa kubwa na haki ichukue mkondo wake,na hii sio kwamba ni kwa polisi wote.

Mgongano wa kimaslahi:Utalii wa Kenya na Zanzibar(Tanzania)
Hii issue kwanza tujue waliohusika ni Raia Wakenya,maana huyo mama ni Mkenya na huyo mzungu ana relate Kenya.

Na ukitembelea Kenya hasa ukienda Mombasa hata Nairobi na hata ukisikia BBC na DW na pia from Kenya`s Tour Operators and Travel Agents na raia wa Kenya wanasema kwamba utalii kwao Kenya umeshuka sana na Wageni wengi wanaenda na kukimbilia Zanzibar.Na Mfaham kwamba Mombasa na Zanzibar zina Compete kwenye Utalii wa Ukanda wa Pwani,na hata Zile Groups Charter Flights kama Condor(German),Eurofly Meridiana(Italy),Neosair(Italy),Mango Flight(South Africa),Jetairfly etc,hizi ni non stop direct groups Charter flights ambazo zime locate ukanda wa Pwani Zanzibar ikiwemo na inafanya vizuri sana.

Sasa wakenya ni Wajanja sana kwenye fitna za biashara na kuharibu.
Maana Kenya wao wanaongoza kwa Rushwa kwa ukanda wetu.
Narejea sitetei rushwa,ila lazima Watanzania tuwe na akili za kuchambua.

Clip:
-Ukitaka kujua huu ni mpango,fuatilia clip,haionyeshi ni nani alianza mazingira ya kuonyesha kutoa au kutaka Rushwa na kwa kiasi gani.
Wameikata Clip,na hii ni kwamba itakuwa wao ndio walianza kushwawishi rushwa ili wafanye wanalolitaka.Ni muono wangu

-Na ukifuatilia kwa makini utaona ni kwamba ilikuwa ni mpango maalum,na Kauli ya yule Mzungu anasema eti "Sinto kuja tena Zanzibar",sasa hii ndio kiki yao,ili iharibu utalii Tanzania,inamaana huko Kenya wanakotoka sio ndio balaa kwa Rushwa

-Halafu kiki nyingine ya kuharibu Utalii Zanzibar-Tanzania kwa watu hao,ni pale video eti inamuonyesha sura yule Mzungu eti watu na Dunia ijue kwamba ni Mzungu na amesema hatokuja tena Zanzibar ili wenzie wajue kweli Zanzibar na Tanzania sio sehem nzuri kwa wageni.

Ajabu:Self Driving
Kwa kawaida na kama mtu ambae nimepitia huko
Kwamba mgeni yoyote anepewa gari kwa Self Driving huwa na mkataba na aliemkodishia gari,ikiwemo kuangalia license,na kumuombea kibali pia kuwa na copy ya passport yake.

Na mwenye gari humpa namna na njia za uendeshaji wa gari kwa Zanzibar na sheria zake.Na kubwa zaidi tena hili kwa wageni bila hata kuambiwa afunge mkanda,basi Wageni wanakuwa makini sana Kufunga mkanda.Na cha mwanzo wakati wa kukabidhi gari husisitiza hili pia la Mkanda,na hii sheria kwa Zanzibar imekaziwa saana maana hata wenyeji inawakuta sana na ilitusumbua sana mwanzo,lakini leo Zanzibar watu karibia wote tunafunga mikanda front Seats mpaka kwenye Daladala,Helmets kwa wenye Pikipiki imefanikiwa kwa kiwango cha hali ya juu saana.

Nionacho mimi,sio kwamba hao walikuwa hawajui kwamba wanatakiwa kufunga Mikanda,maana hamuwezi kusahau nyie woote kwa umbali huo mpaka Mnafikia Mkokotoni.Ila ilikuwa ni Lengo la Kujua na kuweka mazingira ya namna ya kuitengeneza hii kiki
-Sasa nionacho mie ni kwamba Rushwa walianza kuinadi hao Wageni,na ndio maana Clip ya video wameikata na kuonyesha upande unaowaonyesha wao kwamba ni weema saaana.

Kosa kwa Askari lipo,lakini Watanzania nao tuwe Macho,tunashabikia kitu huku tunaumia wenyewe kwa faida ya Wengine,Acha Serikali na sheria ichukue mkondo wake kwa Askari,lakini pia Jeshi liwachunguze na wahusika hasa kwa Masuala ya Maslahi ya Kibiashara.

Kama Boss kubwa wao alienda Ulaya ili kuzuia Bomba la Uganda,hao wengine hawashindwi nao kufanya yao.
Wanatabia ya kuanza kidogo kidogo ili kuangalia kiki inakuwaje,then wataingia kwenye Makubwa ili kuhakikisha kwamba Wanaboost Utalii wa Kenya na kuona kwamba kwao ndio Salama zaidi na Hakuna rushwa.na ndio maana kuna Kiki huyo Mzungu anasema kwamba Sinto kuja tena Zanzibar,sasa hii itaingia kwenye Travelers forums ili kuitia Doa Tanzania kwa sio sehem ya kuja na kutembelea.

Angalizo:
Huu ni muono wangu,watu hawa wanambinu nyingi saana.Na ndio maana Clip wameikata,lakini Je nani anajua kwamba nani alianza kuhamasisha Rushwa?na nani alitaja kiasi hicho cha Pesa?

Maana kama wangekuwa na nia njema na msimamo,basi kituo pale kipo karibu sana,Wangeenda kulipia faini pale na kupata muongozo,ifahamike kwamba sio kila kosa lazima mtu alipe faini,kuna maonyo kadhaa mtu hupewa,sasa wangefika kituoni wangepewa onyo tu kama wageni.

Na Askari wengi sana Wanafanya haya na kuwasaidia wageni kuwapa Muongozo,na ndio maana hata mgeni akipotea njia basi anenda kwa Askari na askari kumsaidia kumpa uelekeo.

Napongeza Sana Jeshi la Polisi kwamba Askari wengi vijana waliongia Sasa wanongea Kiingereza ambapo imekuwa ni Msaada mzuri sana kwa Wageni kupata muongozi na msaada wa haraka.

-Na hata hivyo,kuna kitu onyo,ambapo unaweza tu kuambiwa funga mkanda kisha traffic akakuachia na wengi tunafanyiwa hivyo,maana sote binaadam.

Tuweni makini wa Tanzania,mitego mingine tuwe makini.Tuhukum kwa Askari ila pia tuangalie undani wa Suala lenyewe.Maana hata kwao Kenya angetaka kurecord askari wakule naona angewanasa kwa mamilioni.

Ila kwa vile alikuwa kwa Issue maalum ya kuharibu basi akaona afanye hapa Zanzibar-Tanzania,na ndio maana aliikata clip yake ili tusijue nani alianza kuweka mazingira ya kushawishi rushwa.

Mungu Ibariki Tanzania

Interesting take... Kwa kweli "A drowning man will clutch at a straw" 😵
 
Back
Top Bottom