Galamtogela
Senior Member
- Aug 25, 2013
- 102
- 27
iitwe wavaa vipedo hospital
Wanaukumbi.
The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.
Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.
Jengeni hospital Kama KCMC au Bugando ndio niwape hongera otherwise nyie ni primitive and barbaric religion.
Hivi unaweza linganisha hicho kibanda na KCMC?
Hivi unaweza linganisha hicho kibanda na KCMC?
Uliza nani alishiriki katika mauwaji ya Rwanda 1994 ? utajijibuNipe tofauti Kati ya Uislam na Ugaidi?
Kwani KCMC nayo ni Zahanati?
Hivi unaweza linganisha hicho kibanda na KCMC?
Vigezo vya kuiita zahanati ya kisasa ni vipi?
Nazungumzia hicho kibanda mnacho kibigia debe. Si mali kitu ni sawa na banda la kuku fulani. Aibu tupu kwa jamii ya Kiislam. Is that all you guys can do?
Tena bila ya pesa za walipa kodi wa Kitanzania wala MoU? hongera Islamic Foundation.