Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara

Status
Not open for further replies.

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,965
2,000
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg

993830_557599800987805_1318073896_n.jpg
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,496
0
Hahahahaa ritz bwana huonekani mpaka utumwe hayo ndio maendeleo kwako? Ni hospital ngapi zimejengwa vijijini na zikatelekezwa hazina madoctor, manesi pamoja na madawa acha mbwembwe hiy o haina tofauti ns shule za kata
 
Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,598
2,000
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg

993830_557599800987805_1318073896_n.jpg

mashallah,,,,,its good,japo manaswala wanaponda,,,ila ni jambo jema,,,,
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,391
2,000
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg

993830_557599800987805_1318073896_n.jpg

Wewe boya badala ya kuonesha vifaa vya kimaabara na facility za kisasa wewe unatuonesha jengo ambalo halifikii hata hadhi ya jengo nililomjengea kimada wangu!!

Rubbish thread kutoka kwa terrorist mind.
 
Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,598
2,000
Wewe boya badala ya kuonesha vifaa vya kimaabara na facility za kisasa wewe unatuonesha jengo ambalo halifikii hata hadhi ya jengo nililomjengea kimada wangu!!

Rubbish thread kutoka kwa terrorist mind.

sawa,ila hivyo vifaa vitakaa chini ya mti,hapo anakagua jengo la zahanat,likikamilika wanaweka vifaa,,,,unauchukia uislam pasipo sababu pole sana mdau,uislam upo na utaendelea kuwepo,nadhan ingekua amri yako hata waislam tusingekanyaga hapa,,,je na yale ya sudan ya kusini yanafanywa na MAGAID WA KIISLAM???
 
musubati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
217
195
The islamic foundation kama sikose ni wale chimumuna wabaguzi sana nimeona mwenye coz nimekaa masasi
 
Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,193
1,500
sawa,ila hivyo vifaa vitakaa chini ya mti,hapo anakagua jengo la zahanat,likikamilika wanaweka vifaa,,,,unauchukia uislam pasipo sababu pole sana mdau,uislam upo na utaendelea kuwepo,nadhan ingekua amri yako hata waislam tusingekanyaga hapa,,,je na yale ya sudan ya kusini yanafanywa na MAGAID WA KIISLAM???

Egypt, Iraq, Pakistan, Somalia, Tunisia, Syria etc etc
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
17,246
2,000
Hata kama ni jengo tu, kwani si ni hatua mojawapo ya kuwa na Zahanati? Kwa nini tusipongeze basi hata kwa hiyo hatua tu ya hicho kiwango kisha tukapendekeza hayo mambo mengine tunayodhani ni ya muhimu kuwepo kwenye zahanati badala ya kuanza kutoa maneno ya kashfa? Tujifunze kuwa watu wa shukrani na kuthamini michango ya wanaofanya vitu vya maendeleo!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom