Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara

Status
Not open for further replies.
iitwe wavaa vipedo hospital

na wewe unaakili za ndugu yako KAPUNYANGA . Tukiangali vinguo wanavyo vaa dada zenu na mama zenu makanisani ndio stara ile, kuvaa vimini na visuluari vya kubana eti munamuomba Mungu .shame upon you all. Halafu mmechanganyika jinsia KE na ME . Huyo Mungu mnayemuomba mko uchi ni wa haki kweli? Msubiri jahamu ndiyo mafikio yenu.
 
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg



1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg


993830_557599800987805_1318073896_n.jpg

haya ndiyo mambo ya msingi, big up
 
Pongezi kwa The Islamic Foundation kwa kufanikisha ujenzi wa zahanati hyo ambayo itakuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa Masasi...
 
Nazungumzia hicho kibanda mnacho kibigia debe. Si mali kitu ni sawa na banda la kuku fulani. Aibu tupu kwa jamii ya Kiislam. Is that all you guys can do?
 
Kazi safi sana ndugu zetu - endeleeni na moyo huu wa kujenga huduma za kusaidia wananch wote . Misisikie ya waliojaa na mawazo hasi - kila kitu kwao kina kasoro.
 
Udini kaleta mleta maada. Hii si zahanati tu kama taasisi zinazotoa huduma kwa umma ama kwa faida au bila faida? Kulikuwa na haja gani ya kunadi imejengwa na Islamic Foundation? Nobody gives a f'uck nani kajenga, na ile kutaja eti inatoa huduma bila kujali "itikadi au dini" is bull.shit, kwani hiyo ndiyo sheria ya nchi, na siyo Waislamu wajenga zahanati walioamua.
 
mashaallah, Allah akulipeni kila kheri japo kinafananishwa na kibanda cha choo na kadhalika lakini yote kheri naamini kupitia hiyo zahati watu wote wa dini zote watapata tiba kulingana na uwezo wa zahanati yenyewe, tusife moyo hata rome haikujengwa kwa siku moja na pia tutambue kuelekea kwenye mafanikio changamoto daima hazikosekani.
 
Tena bila ya pesa za walipa kodi wa Kitanzania wala MoU? hongera Islamic Foundation.
 
Tena bila ya pesa za walipa kodi wa Kitanzania wala MoU? hongera Islamic Foundation.

Kwani Islamic Foundation wamezuiwa kuingia MoU na Serikali? Mbona Aga Khan Foundation na hata Hindu Mandal wanazo, tena za miaka mingi sana?

Mleta maada ndiyo mdini. Mimi nikitaka kununua misumari au spea za gari, naenda duka lenye bei nafuu kulingana na pochi yangu, na siangalii kama mwenye duka ni Muislamu, Baniani, au Mkristo. Vivyo hivyo, kama natafuta huduma ya afya, unaangalia hospitali, zahanati, au hata farmasi gani naweza kukupatia huduma hiyo kwa kadiri ya mazingira yako kimaisha, na siyo dini ya mwenye huduma au biashara. Hatujafika hadi watu kunadi huduma au biashara kutokana na imani ya wamiliki
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom