Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara

Status
Not open for further replies.
Ajabu ni Islamic Foundation wamejenga bila ya MoU na serikali.

Aidha wamefanya bila ya kujengewa na Wakoloni waliotumia pesa za rasilimali na kodi za Watanganyika wote.
Mbona vibanda vipo vingi tu vimejengwa bila ya msaada wa Mungu wenu
 
Wa TZ msione hiki kibanda kama ofic ya ccm hapa mbele. kitu chenyewe cha kisasa hakionekani kwenye hii picha. Ndio maana nachukua fursa hii kuipongeza hii IF kwa juhudi zake za kuleta huduma karibu na wananchi. kuna tetesi wameagiza ambulance sema tu imekwamabandarini Dar.
 
Hamna kitu hapo! Tabata kulijengwa very modern hospital and well equipped kwa msaada wa uarabuni, kama miaka kumi iliyopita. Sasa ni gofu. Kisa: wafanyakazi wote lazima wawe waislamu, wanawake lazima waonwe na maDr wanawake tu! Hata waislamu wenyewe wakawa hawaendi

si FaizaFoxy na kahtaan wangeenda kutibu hapo tabata?
 
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg



1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg


993830_557599800987805_1318073896_n.jpg
Congratulations....Mubarikiwe na kazi njema kwa jamii... Hongera vijana hatua nzuri MORO UNIVERSITY na zahanati mwanzo mwema.
 
umemaliza?

Huna jipya kijana na askhari wa Muhamadi. Nyie jengeni shule kwanza maana hao Madaktari wa Kikatoliki sidhani mtawaruhusu. Chucki imejaa sana kwenu. Au Mashehe ndio mtawageuza Madaktari?

Eti Zahanani, hivi kuna jema lolote kutoka kwenu? Baada ya kulipua Makanisa sasa mnajenga mabanda ya kutengenezea nini?
 
Huna jipya kijana na askhari wa Muhamadi. Nyie jengeni shule kwanza maana hao Madaktari wa Kikatoliki sidhani mtawaruhusu. Chucki imejaa sana kwenu. Au Mashehe ndio mtawageuza Madaktari?

Eti Zahanani, hivi kuna jema lolote kutoka kwenu? Baada ya kulipua Makanisa sasa mnajenga mabanda ya kutengenezea nini?
Until prove guilty.... acha dhanaa mbovu ... Watoto wa Issa Bin Mariam (yasu al Masih) hamtakiwi kususpect ovyoovyo !!
 
mlituhujumu sana sasa tunasonga mbele
Miaka yote mlikuwa wapi? Nyie mpaka leo kule kwa ndugu zenu Somalia ni laana tu. Ukienda Syria laana vile vile. Hamna jipya zaidi ya kufuga misukule ambao ndio mlirith kutoka deity wenu Muhammad.
 
Uislamu ni ugaidi

Na hivi ni vituo vya kutibu Magaidi.
Mkuu Tembele with RESPECT tunaishi pamoja !! tunawajibika pamoja tunasafiri pamoja!! milango yetu inakabiliana...Asantee...Kesho atakuja mwanao tutamtibu... Karibu tena ndugu.
 
Until prove guilty.... acha dhanaa mbovu ... Watoto wa Issa Bin Mariam (yasu al Masih) hamtakiwi kususpect ovyoovyo !!
Hivi unaweza test kwa kula kama sumu inafanya kazi ndio ukubali ni sumu? Muulize Mtume alipo test sumu kule kwa Mungu wake Israel, nini kilimtokea.

Wewe umesha ona Masista kwenye Masjiid cuba kule Sinza au Kinondoni Muslim?
 
Napendekeza iitwe " The Hospital of Terrorists"
Samahani MnyiSanzu, Hapo ni kituo cha kuhudumia wagonjwa "Who knows nani atapatiwa huduma za haraka na msaada wa kibinaadamu" Je, wewe unadhamana na afya yako ? au mwanao unauhakika wafya yake? Weka dhanaa njema !!
 
Inasikitisha sana watu wanaleta matusi, kejeli na mzaha kwenye jambo la muhimu kama hili. Najua wakristu mlioko hapa hamtakwenda kutibiwa hapo lakini jueni kuwa kule Masasi kuna wenzenu na watatibiwa hapo. Hebu acheni kejeli zenu nyie watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom