Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara

Status
Not open for further replies.
Nipe tofauti Kati ya Uislam na Ugaidi?

MNYISANZU unajua hadi sasa hivi hakuna standard definition ya ugaidi? Kila mtu anautafsiri ugaidi kwa mtazamo wake. Sidhani kama ni sahihi kuufananisha uislam na ugaidi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe boya badala ya kuonesha vifaa vya kimaabara na facility za kisasa wewe unatuonesha jengo ambalo halifikii hata hadhi ya jengo nililomjengea kimada wangu!!

Rubbish thread kutoka kwa terrorist mind.

Unamuonea bure Ritz kumwita boya. Hata kama kaonyesha jengo lakini limejengwa kwa lengo la kuwa dhahanati ya kusaidia jamii. Wewe hata kama umemjengea kimada wako jumba la mamilioni, halituhusu mkuu na haliwasaidii kitu hawa wananchi!

Ungekua umejenga zahanati ya kisasa kidogo ungeweza kuonyesha mfano wa kuigwa lakini kama unaongea tu na kuleta matambo ya kumjengea kimada mjengo, ni afadhali ya hawa waliochukua hatua hata kwa hichi kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu mnajenga kibanda kama choo cha stend mnaita modern dispensary. wakristo walianza zamani kabla hata mkoloni hajatia mguu tz. Angalia Bugando Mz. KCMC Moshi. Bumbuli Lushoto. Teule Muheza jamani mifano ni mingi hata Mt zipo.
 
Hamna kitu hapo! Tabata kulijengwa very modern hospital and well equipped kwa msaada wa uarabuni, kama miaka kumi iliyopita. Sasa ni gofu. Kisa: wafanyakazi wote lazima wawe waislamu, wanawake lazima waonwe na maDr wanawake tu! Hata waislamu wenyewe wakawa hawaendi
 
MNYISANZU unajua hadi sasa hivi hakuna standard definition ya ugaidi? Kila mtu anautafsiri ugaidi kwa mtazamo wake. Sidhani kama ni sahihi kuufananisha uislam na ugaidi mkuu.
Kwa kuwa umeshindwa kunipa tofauti basi Mimi naendelea kuamini Uislam na Ugaidi ni two sides of the same coin. Ni identical twins.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa umeshindwa kunipa tofauti basi Mimi naendelea kuamini Uislam na Ugaidi ni two sides of the same coin. Ni identical twins.

Sipo hapa kukupa tofauti kwa sababu mimi sio muislam, unaweza kueleza maana ya neno UGAIDI? kisha waislam watatupa maana ya uislam. Huenda wanaotuhumiwa na yanayoitwa matukio ya kigaidi wengi wao ni waislam lakini haifanyi waislam wote au uislam kuwa ugaidi.
 
Tatizo ski zahanati no wamiliki was zahanati kukubali halii halisii kuajiriii waliosoma Vila kuangalia udini
 
Waislamu mnajenga kibanda kama choo cha stend mnaita modern dispensary. wakristo walianza zamani kabla hata mkoloni hajatia mguu tz. Angalia Bugando Mz. KCMC Moshi. Bumbuli Lushoto. Teule Muheza jamani mifano ni mingi hata Mt zipo.

we kweli unafafana kabisa na ID yako pamoja na akili zako .tatizo umekumbwa na wivu wa maendeleo waislam hatuna roho mbaya kama mlivyo wakristo mnapenda kujifanya kila kitu kizuri ni chenu .maneno yako ni ushahidi tosha.sio wewe tu hata viongozi wako ni kama ulivyo wewe. Kama dini yako ni ya haki usinge thubutu kusema hivyo
 
mtoa mada kasema ya kisasa
labda mnieleweshe neno kisasa anamaanisha jengo au nini?
hospitali tunaangalia jengo pekee au tunaangalia madawa,vifaa na wataalamu?
jengo peke nawapongeza
lakini jengo peke yake halitoshi kuita zahanati ya kisasa...Ritz punguza kilauri
 
Kwa niaba ya wa TZ wote. tunaipongeza ISLAMIK FOUNDATION kwa kujenga jengo la kisasa kabisa litakalotumika kama zahanati ya kisasa huko Masasi. Big up Islamic foundation. Ila nawaasa wajenge hospitali kama Bugando iwe ya rufaa kwa mikoa yetu ya Lindi .Mtwara na Ruvuma iliyosahauliwa na serikali yetu tukufu ya ccm. naunga mkono ujenzi kwa asilimia mia mbili.
 
huna lolote mzandiki na mnafiki mkubwa bado natia shaka maneno haya labda uniambie unafuta kauli uliyoitoa. Duniani kuna shida kubwa ya kuuchukia uislam mbali na kuuzushia propaganda nyingi lakini uislam umebaki na asili yake.
 
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg

1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg

993830_557599800987805_1318073896_n.jpg

Mkuu usasa wa hyo zahanati ni majengo au? maana huja'specify.. au huduma (obvious hujazijua) au vifaa? au wahudumu?

Be specific.. If its general, then speak out!
 
Wanaukumbi.

The Islamic Foundation wanaelekeza mapambano kwenye elimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania wote bila kujali itikadi za kidini.

Mwenyekiti Aref Nahdi akikagua na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtwara Shk Yusuf Shaban kumalizika kwa ujenzi wa Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara.

1508201_557599934321125_1455141667_n.jpg

1538739_557600270987758_1966017811_n.jpg

993830_557599800987805_1318073896_n.jpg

Wakatoliki walijenga zahanati pale Mwanza wakaiita Bugando.
Walutheri walijenga zahanati pale Moshi wakaiita KCMC...
Mbona wako kimya hawana tambo wala majigambo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom