umatemate
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 755
- 138
Hyo ni dhahanati au choo?
mfumo kristo
Hyo ni dhahanati au choo?
Mnapigia debe Banda, siku mkijenga Hospitali si itakuwa balaa.pumba tupu
Udini kaleta mleta maada. Hii si zahanati tu kama taasisi zinazotoa huduma kwa umma ama kwa faida au bila faida? Kulikuwa na haja gani ya kunadi imejengwa na Islamic Foundation? Nobody gives a f'uck nani kajenga, na ile kutaja eti inatoa huduma bila kujali "itikadi au dini" is bull.shit, kwani hiyo ndiyo sheria ya nchi, na siyo Waislamu wajenga zahanati walioamua.
hiyo yote ni gere tu. tupe ongera zetu inakukereketa nini?
Mnapigia debe Banda, siku mkijenga Hospitali si itakuwa balaa.
aliyekwambia inafanana na kcmc ni nani?
Kwani Islamic Foundation wamezuiwa kuingia MoU na Serikali? Mbona Aga Khan Foundation na hata Hindu Mandal wanazo, tena za miaka mingi sana?
Mleta maada ndiyo mdini. Mimi nikitaka kununua misumari au spea za gari, naenda duka lenye bei nafuu kulingana na pochi yangu, na siangalii kama mwenye duka ni Muislamu, Baniani, au Mkristo. Vivyo hivyo, kama natafuta huduma ya afya, unaangalia hospitali, zahanati, au hata farmasi gani naweza kukupatia huduma hiyo kwa kadiri ya mazingira yako kimaisha, na siyo dini ya mwenye huduma au biashara. Hatujafika hadi watu kunadi huduma au biashara kutokana na imani ya wamiliki
Kwa sasa hivi inakutosha kuwa Waislamu waliomba na kukataliwa.Kwani Islamic Foundation wamezuiwa kuingia MoU na Serikali? Mbona Aga Khan Foundation na hata Hindu Mandal wanazo, tena za miaka mingi sana?
Misukule hamna jipya. Toka ndani ya chupa we we Kafir wa Allah.pumba nyingine
Kwa sasa hivi inakutosha kuwa Waislamu waliomba na kukataliwa.
Ndioo maana ISANZU,IAMBI,NDUGUTI hakuna maendeleo kutokana na kuwa na wakazi kama nyieNapendekeza iitwe " The Hospital of Terrorists"
Masharti waliyotimiza Wakatoliki ni yapi?..kujifungia chumbani peke yao na mwakilishi wa serikali Lowasa?!Hiyo si sababu. Kama Islamic Foundation walikataliwa, basi wangefanya jitihada kuendana na masharti ya Serikali ili nao wakubaliwe , na siyo kuishia kuwashambulia Wakatoliki tu kila siku sababau ya MoU wakati ni dini kibao zina makubaliano ya MoU na serikali, lakini watu kama wewe hamuwakomalii.
Kama Wakristo wa madhehebu mbalimbali, Wahindi Waislamu na Mabaniani wameweza, kwa nini islamic Foundation washindwe?
Weka ushahidi wa correspondence kuhusu maombi ya MoU kati ya Islamic Foundation na Serikali, na majibu ya Serikali, halafu tuone ukweli upo wapi.
Masharti waliyotimiza Wakatoliki ni yapi?..kujifungia chumbani peke yao na mwakilishi wa serikali Lowasa?!
Gere ya nini ndugu yangu? Almost kila parokia ina zahanati achilia mbali hospitali. Nenda Unguja ukaone masista wanavyohudumia ndugu zenu kwenye ile hospitali ya katoliki kule shamba..
Allah ni mbaguzi sana. Hafai kabisawakati mmoja ilijengwa shule ya imani hii mtaani kwangu. Tulikuja kupigwa butwaa siku walipofika wafadhili wakuu toka uarabuni. Wakaingia madarasani na kufanya test km iliyofanywa na wasomali wa westgate kwa lengo la kubaini "product zao". Wakagundua wameingizwa chaka, class imejaa mamluki watupu. Shule ilifungwa siku hiyohiyo kwa staili ya "ghafla bin vuu" baada ya wafadhili hao kubaini shule imejaa watoto wasio "walengwa".
nakumbuka niliumia sana wakati huo kuona wazazi wanavyohaha kutafuta shule mpya kwa ajili ya watoto wao.ubaguz ni mbaya sana.
Ajabu ni Islamic Foundation wamejenga bila ya MoU na serikali.Mnakumbuka shuka kumekucha!! Mboba hayo ni ya kawaida sana kwa ndugu zenu wa upande wa pili?
Wakianza kutaja shule na hospitali na zahanati zinazohudumia watanzania wote bila kijali dini si tutakesha tukihesabu?? Hakuna cha ajabu hapo