we una matatizo, Dialo mmiliki wa hicho kituo ni m/kiti wa ccm mkoa wa Mwanza,sasa u-Chadema unatoka wapi hapo? MAGAMBA mwaka huu mnasheeeeda! CHADEMA itawatesa ile mbaya! nimeona jana kwa macho yangu yule MEYA WA KICHINA HENRY MATATA-Ilemela kabeba maccm yasiyojitambua kwa mabasi yake kutoka Kayenze,Igombe,Igoma na Buhongwa ili angalau ionekane kulikuwa na watu kwenye mkutano wake alioitisha jana kwenye viwanja vya minazi mitatu hapa kona ya bwiru,heti naye anatangaza nia ya UDIWANI -KITANGIRI kupitia ccm.Ama kweli ccm hamnazo,watu wa kubebwa na mabasi na hali si wakazi wa eneo husika na hawawezi kupigia kura ktk eneo hilo kuwajaza mikutanoni inawasaidia nini? au ni kuogopa aibu ya kuonekana mnakosa watu kwenye mikutano yenu? jiandae wakuu, CHADEMA ni issue nyingine!