Yvonna Kamuntu na mumewe waikimbia Star TV

Yvonna Kamuntu na mumewe waikimbia Star TV

Namkumbuka alipokuwa anaanza utangazaji alikuwa na rangi fulani inayobainisha UAFRICA lakini sikuizi naona kama ana asili ya ALBINO ivi inakuwaje? ni mimi tuu nimeona hii au kuna wengine mmeona hii. kwa huyu dada.
 
Ninavyoona wewe ni kati ya members humu wenye status kubwa. Pia arguments zako huwa zina mashiko sana.
Lakini hebu jitathimini kwa upande mwingine kuhusu:-
1. Kauli kali sana
2.Maneno machafu/matusi
3. Bad wishes kwa wenzako hasa kwenye maisha ambayo ni binafsi sana. Mtu mwenye imani ya mungu nadhani hata rohoni utajihukumu kumtakia mwenzako weshes kama hiyo.

Chukua mfano wa kina Yericko Nyerere au Simiyu Yetuwapo more analytical na huwezi ona wakimu attack au kumtakia mtu mikosi.

Ni ushauri tu!! But nakumbuka ulishaniita Popoma. Sijui leo utaniitaje

Watanzania Wakweli HATUTAKIWI Ila WANAFIKI Kama Wewe WANAKUBALIKA Na Pengine Hata Kusema Hayo Nimemsaidia Kwa Namna Fulani. Leo Mimi Unasema Nina Shambulia Mtu au Watu ILA Humu Humu Kuna Members Kutwa Wanamshambulia Tena Kiukweli Ukweli Mgombea Urais Wako Pendwa Mmoja Kwa Mambo Yake Ya Siri Kabisa Mbona Sijakuona Ukiwakemea Hao? Ulisema Nilishawahi Kukuita POPOMA Ila Leo Nakuongezea Kidogo Kwa Kusema Wewe Ni POPOMA ULIYETUKUKA!
 
una jina kubwa tu jf na mara nyingi unakuwa na michango yenye kueleweka.
But kwa upande mwingine unatakiwa ujitathimini kwa haya yafuatao:-
1.umekuwa na kauli kali sana dhidi ya wengine
2 . Sometimes matusi.
3. Bad wishes kwa wengine. Mfano mtu unapata faida gani familia ya mwenzako ikisambaratika. Nadhani mtu mwenye imani ya kweli hata rohoni utajisikia vibaya kuandaka kama hivyo.

Faizal foxy. Yerick nyerere. Simiyu yetu nk ni members ambao wapo analytical na hata wanapokosoa jambo basi utakubali tu kuwa criticisms zina mashiko . Jifunze mazuri kwa hawa hata kama kiitikadi unatofautiana na faizal but she is good upstairs and ethically.

Nakumbuka ulishaniita popoma . Sijui leo utaniitaje.

Popoma Uliyetukuka.
 
"Muhindi" ni yupi kati ya wanaoongelewa hapa?

Anyway, sijui spelling nimekosea- may be the correct spelling ni "Mhindi" -of Asian origin. That is what I meant Faizal nimeona kuna mtu kakusifia kwenye uzi huu kuwa uko vizuri upstairs and ethically- alikuwa akimjibu Gentamycine
 
Anyaway, sijui spelling nimekosea- may be the correct spelling ni "Mhindi" -of Asian origin. That is what I meant Faizal nimeona kuna mtu kakusifia kwenye uzi huu kuwa uko vizuri upstairs and ethically- alikuwa akimjibu Gentamycine

Said Salim Bahkressa sio muhindi, ni Mpemba...
 
sielewi kama ccm wanamkono au nimaslahi.

Huyu dada alijinasibisha sana na ccm akina mwigulu nawengine wametumika kupitia kipindi cha Kamintu Jumapili.

Nilikuwa sipendi stayle ya kamuntu kuhoji wageni wake kinafiki akishabikia uccm akikiuka maadili na weledi kushindwa kututendea haki watazamaji wake.


Hata hivyo nawatakia kila lililojema katika safari yao. Maisha nipopote hususan pale palipo na maslahi bora
 
Anyaway, sijui spelling nimekosea- may be the correct spelling ni "Mhindi" -of Asian origin. That is what I meant Faizal nimeona kuna mtu kakusifia kwenye uzi huu kuwa uko vizuri upstairs and ethically- alikuwa akimjibu Gentamycine

Bakhressa ni mwarabu toka zanzibar
 
Dar ni sehem tofauti na Mwanza? Tanzania ni tz tu kote kuchafu, foleni, wizi, mbu, no water..hivi kuna haja ya kubagua miji kwa Tz? Naona kama ushamba flan, na je wangecross continent je?
Are you serious with your comment! ?
 
Ngoja Aje AKANYAGIWE Vizuri Na Wajanja Wa Mji Na Ninavyopajua Hapo Wanapohamia Ndoa Yao Naipa Miezi Six Tu Ya KUSAMBARATIKA.

Acha utabiri wa kishetani mkuu!Kwani ungependa wabaki huko huko eti kwa vile akihamia Dar "atakanyagiwa?"Kwa lipi jipya ambalo huko walipo halipo?Wanaume wenyewe wa chips kuku wa kizungu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yaani hapa nimechoka mwili na akili,nampenda sana IVONNA,star tv jamani kwanini??
Huyu ivonna sio mtusi au mnyankole kweli? Watu wengi sio kama wanampenda kwa umahiri wake wa kutangaza, bali wanamtamani kimapenzi. Na yale mapozi yake kama yuko ndani ya room...
 
Back
Top Bottom