kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Yvona ni wa Dar toka mtoto
Sasa ule ulimbukeni kautoa wapi
Yvona ni wa Dar toka mtoto
Sasa ule ulimbukeni kautoa wapi
Hayo majina hawa ni watanzania kweli? mbona kama warundi flani hivi
Usalama wa taifa wa uganda! Kagame kawapenyeza kila mahali!
Demu wangu Celine Sarah Mwakabwale sijui yuko wapi siku hizi. Pale Star tv amenyanyasika sana. Na baada ya kuondoka hawa kina Ray pale RFA atabaki Debora Mpagama tu nae kwa vile hana shule...na Dialo hupata pumziko pale.
Haya kumekucha,watangazaji maarufu wa star tv Yvonna Kamuntu na mmewe Ratmond Nyamwihula wameikimbia tv hiyo na wamejiunga na azam tv
huyo demu wako selina amechoka kishenzi.yaan amechakaa kwa sasa kawa Kama kikongwe bora ata alivyokuwa startv ilikuwa unaweza mtazama lakini saaahivi hatazamiki chief. angalau alivyokuwa pale kina Buhilya walikuwa wanamuweka mjini kwakumpa ata vihela vya lotion .salsa hivi kafulia
Ngoja waje jijini watabadilika tu
Tuache chuki binafsi.Yvone ni mtangazaji mzurı na msomi kuliko watangazaji wengi wa kike hapa.Hata akiwa anawahoji watu wenye haiba kubwa unamwona alivyo na weledi.Huwezi kumlinganisha na watangazaji wa kike wa ITV.Hauwezi kumlinganisha Yvone na Fatuma Nyangaza,Midile,Magret n.k.Hawa uelewa wao mdogo sana, na kama mfuatilıaji mzuri wa habari na matangazo utaona watangazaji wa ITV hufanya makosa mengi na habari zao hazina details.ITV hupotosha na huwa hawarudi kuomba radhi.
msomi? kwataarifa yako Ivona Kamuntu nimesoma naye na form 4 hajaimaliza.kifupi hajafika high level.
Mwanamme anaetamba yeye ni "dume la mbegu" huwa ana kasoro mwanamme wa ulwa huwa hana wakati wa kutamba yeye kimya na action tu. Tazama huyo "cosa nostra" mwenzako:
![]()
Confession: John Gotti Jr, who is on trial in New York (file photo). During his trial yesterday former Mafia hitman Robert Mormando made the startling confession that he is gay
Read more: Shock as Mafia hitman Robert Mormando tells court: I'm gay | Daily Mail Online
Tunawajuwa nyinyi mnaojidai ma "tough guy" hamna lolote bali na ma "tough gay" tu. Tulioiona dunia wala hamtusumbuwi hata chembe, wadanganyeni haohao wajinga wenzenu.
18% ya maprofesa UD hawakufika A'level.Sio lazima kuwa msomi uwe umepitıa A'level, zipo njia nyingi za kusoma.Ok, hajasoma lakni ni mzuri kichwani kuliko watangazaji wengi wa kike wa ITV.Na tukiwa makini Startv&RFA wametoa watangazaji wengi kwenda vyombo vya habari vya nje na ndani kuliko pengne vituo vingne vyote.Utasemaje washamba, hawajui kuvaa, hii ni kweli?Labda kuna mengne.Watu wanatafuta maisha hapa na pale tena vijana wenzenu alafu mnawadharilisha bila hata sababu za msingi?Ebu mtafute mtu kama Fatuma Nyangaza aende kumfanyia interview mtu km Msekwa, Chenge au Mkapa!
Mkuu kwani Mh. Dialo si aliwahi kushika wadhifa wa uwaziri? Sasa hapo uchadema unatoka wapi?
Tulia wewe ni kipi ambacho haujaelewa hapo? au unatka kuleta akili zako za ki uvccm hapa
Unajua nimeanza kukupenda, napenda sana demu anayeanza kuniweka low profile, napenda!