Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,107
Huyu je??!!
![]()
mmnnnh!!huyu hapana kwa kweli!!noti raiti kabisa hii,mimi sipendi wanaojichubua.
Huyu je??!!
![]()
ha ha ha.aisee kwa jinsi watu wanavyomuongelea nilijuwa bonge la mwanamke.
mkuu kwani kale kasheria kameshapitishwa??
Kama hufahamu kitu uliza!nani kakwambia Bakhresa ni muhindi?..
Hivi Azam yeye hakuzi vipaji?
Bado, lakini ile busara ya kawaida tu itumike!
dah!anyway kila mtu na macho yake!mi namuona mkali hasa shepu yake na macho+rangi yake ya asili,aargh mi hoi
Huyu mwanamke wa kawaida kabisa hata ukimwona hushtuki wala wala huwezi muangalia marambili!
Haya kumekucha,watangazaji maarufu wa star tv Yvonna Kamuntu na mmewe Ratmond Nyamwihula wameikimbia tv hiyo na wamejiunga na azam tv
Hayo majina hawa ni watanzania kweli? mbona kama warundi flani hivi
Haya kumekucha,watangazaji maarufu wa star tv Yvonna Kamuntu na mmewe Ratmond Nyamwihula wameikimbia tv hiyo na wamejiunga na azam tv
"Muhindi" ni yupi kati ya wanaoongelewa hapa?
Yule tunae share mimi na wewe?
Bakhresa katipo malipo yupo vizuri,ni ny**o kama eddo kumwembe anamlipa milioni 6 hao usikute wanalipwa net 2.5m each,chezea Bakhresa wewe.
Usalama wa taifa wa uganda! Kagame kawapenyeza kila mahali!
well said
watu wanawaziana mabaya et wataachana ivi watu wanadhan watu wote wazinz kama wao
any way Mungu awatangulie vijana hawa
star tv awalip vzr ndio maana wamekua wakikimbiwa yaan wanazalisha vipaj mfano Gabriel zakaria'fredwaa na mkwewe rahabu fred'stella setumb na mumewe'kid bwai'kuna jamaa saiv yupo bbc kanitoka na wengine weng wanatakiwa waende na wakat yvone alikua smart sana hasa akihoj politician wamelost
Ngoja waje jijini watabadilika tu