Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,107
msomi? kwataarifa yako Ivona Kamuntu nimesoma naye na form 4 hajaimaliza.kifupi hajafika high level.
Mmmnh!!ya kweli haya???
msomi? kwataarifa yako Ivona Kamuntu nimesoma naye na form 4 hajaimaliza.kifupi hajafika high level.
dialo halipi mishahara na hata akilipa ni midogo,amejaza chadema tu kazi kuitukana serikali, naona atabaki na mwanasheria wake ambae ni mwenyekiti wa bavicha
Yaani hao umeona ndio role model wako, amakweli dunia haiishi vioja!!!
basi hakuwa exposed, mana hajui kuvaa na anaonekana mshambaYvona ni wa Dar toka mtoto
Mbona unakuja kwa spidi kubwa. Just be humble! Haina umuhimu sana kumjua huyo kabila lake etc, hii ni by the way tu.
Hao sio role model wangu bali nimekuchagulia watu ambao ni arrogant lakni pia wanajua.Mtangazaji akiweza kupata confidence ya kumhoji Chenge au Msekwa na akakaa kwenye track ni amekwiva.Pamoja na ufisadi wake Chenge ni miongoni mwa watu wenye intellectual arrogancy ya kutisha.Yvone anawamudu na unamwona anakuwa yuko cool,relaxed na hatoki njia kuu.Mtoto yule anajitahdi,tusimshambulie.
Wewe Kijana...! Unampenda NYANYA yako?? Mtake radhi. Ila kama ni mapenzi ya bibi na mjukuu wake..Ruksa lol
Hao sio role model wangu bali nimekuchagulia watu ambao ni arrogant lakni pia wanajua.Mtangazaji akiweza kupata confidence ya kumhoji Chenge au Msekwa na akakaa kwenye track ni amekwiva.Pamoja na ufisadi wake Chenge ni miongoni mwa watu wenye intellectual arrogancy ya kutisha.Yvone anawamudu na unamwona anakuwa yuko cool,relaxed na hatoki njia kuu.Mtoto yule anajitahdi,tusimshambulie.
Mkuu usishangae kuna watu humu akitajwa bakhresa wanapagawa kama wamelishwa sumu.!
basi hakuwa exposed, mana hajui kuvaa na anaonekana mshamba
msomi? kwataarifa yako Ivona Kamuntu nimesoma naye na form 4 hajaimaliza.kifupi hajafika high level.
Siri ya huu uzi nimebaini kitu kimoja,huenda kuna watangazaji wa AZAM humu ndani ambao hawajapenda kabisa ujio wa hivi vichwa viwili ambavyo vinajua hasa kazi yao nini wanapokua mbele ya Camera!!
Poleni sana jamani kwa wote waliokwazwa na ujio wao,maisha ndivyo yalivyo
Huyu mwanamke wa kawaida kabisa hata ukimwona hushtuki wala wala huwezi muangalia marambili!
Hahaaaa
Uwiiii ndo raha ya jf,ukweli hadharani
Mbona sijawaona wakitangaza?
Ukweli hadharani? Yawezekana sio ukweli.
Amesoma naye kitambo, na anadai hajamaliza "Form Four"? Je, kama alijiendeleza? Pengine alirudia mitihani
.......kaka wenzio tunapenda kuangalia hayo macho ati
hapo sasa!na inawezekana hata hajasoma nae basi tu,jf zaidi ya tuijuavyo