muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,192
- 15,571
Mbona unakuja kwa spidi kubwa. Just be humble! Haina umuhimu sana kumjua huyo kabila lake etc, hii ni by the way tu.
Pamoja mkuu...
Mbona unakuja kwa spidi kubwa. Just be humble! Haina umuhimu sana kumjua huyo kabila lake etc, hii ni by the way tu.
Alinikaribisha Hostel Karibu Na Kwake Maeneo Ya Nsumba Na Baadae Nikaja Kuishi Hostel Ya DARFUR. Jamaa Yupo Vizuri Na Mtu Poa Sana.
Darful the place to be.......! Nimeishi pale mwaka wa kwanza hadi namaliza chuo....!!
Nakumbuka tulichelewa kulipa pesa za Hostel majina yakapelekwa kwa Kitima... ilikua ukienda chukua no ya exams,unaambia lipa deni la hostel yako kwanza.....!
Raymond alikua na demu flan hv chuo,Anaitwa Mwanaisha.... wakaja temana dakika za Mwisho....!! Mapenzi haya jamani ni hatari....,!
.......kaka wenzio tunapenda kuangalia hayo macho ati
Anaboa kweli kufumba fumba macho kwenye tv
Wakati Tunavamiwa Na Wale Majangili Na Wewe Ulikuwepo? Yule Mhudumu Wa Zile Hostels Aitwae Zawadi Ulimkuta? Wale Masela Akina Baraka, Pierre Na Erick Cheusi Unawakumbuka? Umenikumbusha Mbali Sana Mkuu.
....
Raymond alikua na .... flan hv chuo,.... wakaja temana dakika za Mwisho....!! ...haya jamani ni hatari....,!
Nilikuwepo mkuu,tulivamia mara mara tatu hv kama sikosei!!!!
Zawadi namkumbuka sana,kuna kipindi nilienda mwanza,alikua anaumwa sana...
Eric Mweusi aka Babu sasa hv ni mjasilia malipale mwanza,Baraka alikua Stanbic Hq kwa sasa sijui yuko wapi.....
Kuna mchizi mmoja alikua anaitwa Hussein Manoni,ma kaka jambazi walimtia kilema cha maisha,walimkata panga la uso aisee....'
Piere yuko jeshini.... dodoma!!! Wale jamaa walikua wanapiga sana makele wakitoka club......!!
Kama Vile Nimeshakuhisi Wewe Ni Nani. Siyo Sinzo Kweli Wewe Ambaye Na Wewe Ulicharangwa Na Wana Zengo Wa Nsumba Pale Darfur?
Waandishi makanjanja ututawajua tu....!!! Kujadili watu badala ya issue. Hapa issue ni kwa nini Sahara media inakimbiwa na waandishi wake nguli..!
Kama Vile Nimeshakuhisi Wewe Ni Nani. Siyo Sinzo Kweli Wewe Ambaye Na Wewe Ulicharangwa Na Wana Zengo Wa Nsumba Pale Darfur?
Hahahahaha sio mimi bhana.....!! Ila kuna siku walikuja karibu na room yetu kina kaka jambazi,mate wangu alikua na kitambi kama cha Wasira,but alizama uvunguni kujificha.....!!!
Baada ya siku mbili akaniomba nimuchukulie kiatu ndani ya uvungu ule ule....!!!
Utajiju!!Uzuri mimi sio mwandishi na wala sina hobby ya uandishi.....
Ndiyo wamehamia Azam Media, tafuta humu kuna uzi unaelezea kwa kirefu.nimeona kule insta wakiaga sahara media na wakioneka airport anayejua zaidi anijuze jamani
kwahiyo huyu kaletwa, ndo hajielewi