Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,107
Wekeni picha nimfahamu huyu mtangazaji.
Huyu hapa mrembo wangu.
Wekeni picha nimfahamu huyu mtangazaji.
yale mapozi yake aache hasa ya kubinua midomo na kufinyafinya macho.
Usiogope ..tutampokea na katerero za hatariii atatulia tu..na hivi kapanga nyumba tabata ..itafahamika tu
Huyu ivonna sio mtusi au mnyankole kweli? Watu wengi sio kama wanampenda kwa umahiri wake wa kutangaza, bali wanamtamani kimapenzi. Na yale mapozi yake kama yuko ndani ya room...
Ili iweje?
AZAM=REAL MADRID
Said Salim Bahkressa sio muhindi, ni Mpemba...
Why unatabiria watu vibaya hivyo kwani ww ni mnajimu???
Huyu hapa mrembo wangu.
Utapigwa ndole.
Ngoja Aje AKANYAGIWE Vizuri Na Wajanja Wa Mji Na Ninavyopajua Hapo Wanapohamia Ndoa Yao Naipa Miezi Six Tu
Mbona umeenda kusiko kabisa yani mbali sana...duu Tanzania hii wacha CC watangaze nia wengi maana akili za wananchi si za maendeleo kabisa zaidi ya kuwaza kwenye pichu tuu!!! BIG SHAME...
Isije kuwa kuruka mkojo ukakanyaga m..... Anyway, let them have another attempt. Lakini Muhindi ni Muhindi
Warudishe michango yetu ya ndoa haraka hapa studio.
Huyu hapa mrembo wangu.