fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Huyo Ivonne abadilike, mambo ya star tv ayaache huko huko.
Huyo Ivonne abadilike, mambo ya star tv ayaache huko huko.
Wamefika Dar city sasa hope watabadilika hata kimavazi
Haya kumekucha,watangazaji maarufu wa star tv yvonne kamuntu na mmewe ratmond nyamwihula wameikimbia tv hiyo na wamejiunga na azam tv
Wamefika Dar city sasa hope watabadilika hata kimavazi
Kwani mavazi yakoje Mkuu?
Star tv staff wao kwa kuvaa ni zero
Haya kumekucha,watangazaji maarufu wa star tv yvonne kamuntu na mmewe ratmond nyamwihula wameikimbia tv hiyo na wamejiunga na azam tv
Isije kuwa kuruka mkojo ukakanyaga m..... Anyway, let them have another attempt. Lakini Muhindi ni Muhindi
.......kaka wenzio tunapenda kuangalia hayo macho atiAnaboa kweli kufumba fumba macho kwenye tv