Yvonna Kamuntu na mumewe waikimbia Star TV

Yvonna Kamuntu na mumewe waikimbia Star TV

Namkubali sana huyu dada pozi zake unatamani uendelee kumsikiliza
 
"Muhindi" ni yupi kati ya wanaoongelewa hapa?

Umeniwahi dada FF! AZAM TV na Muhindi wapi na wapi jamani! Mbona kuna watu wanajua kukoroga na kupotosha!

Nikirudi kwenye mada, Raymond Nyamwihula ni mtangazaji mahiri na mtulivu na kwa kweli anajitahidi. Na mkewe Kamuntu N nae ni mahiri japo kiundani ana element za ukada ila anajitahidi kujizuia ili watu wasijue. Ila kwa nini siku hizi hatumii jina la mumewe na badala yake katudia kutumia jina la baba yake

Kuhusu kwamba kwa kuja Dar eti.ndo itavunja ndoa yao sidhani kama ni sababu. Kwani kuna nini cha zaidi Dar ambacho kwa wanandoa ambao hawana uaminifu walijizuia Mwanza ila Dar wakashindwa na kujionyesha wazi hadi wasambaratike? Ni mtazamo tu lakini hauna uhalisia wowote!
Karibuni Dar, mji wa foleni, karibuni Tabata pale Reli ya Mwananchi!
 
Tulia wewe ni kipi ambacho haujaelewa hapo? au unatka kuleta akili zako za ki uvccm hapa

quote_icon.png
By FaizaFoxy
"Muhindi" ni yupi kati ya wanaoongelewa hapa?
 
Back
Top Bottom