Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,575
- 55,141
Kimaslahi zaidi
Ewe punguani, ni nani hapo "Mhindi"?
Ngoja waje jijini watabadilika tu
Tulia wewe ni kipi ambacho haujaelewa hapo? au unatka kuleta akili zako za ki uvccm hapa
Alinikaribisha Hostel Karibu Na Kwake Maeneo Ya Nsumba Na Baadae Nikaja Kuishi Hostel Ya DARFUR. Jamaa Yupo Vizuri Na Mtu Poa Sana.
Ninavyoona wewe ni kati ya members humu wenye status kubwa. Pia arguments zako huwa zina mashiko sana.Ngoja Aje AKANYAGIWE Vizuri Na Wajanja Wa Mji Na Ninavyopajua Hapo Wanapohamia Ndoa Yao Naipa Miezi Six Tu Ya KUSAMBARATIKA.
dialo halipi mishahara na hata akilipa ni midogo,amejaza chadema tu kazi kuitukana serikali, naona atabaki na mwanasheria wake ambae ni mwenyekiti wa bavicha
dialo halipi mishahara na hata akilipa ni midogo,amejaza chadema tu kazi kuitukana serikali, naona atabaki na mwanasheria wake ambae ni mwenyekiti wa bavicha
Ewe punguani, ni nani hapo "Mhindi"?
Ngoja Aje AKANYAGIWE Vizuri Na Wajanja Wa Mji Na mimiNinavyopajua Hapo Wanapohamia Ndoa Yao Naipa Miezi Six Tu Ya KUSAMBARATIKA.
Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi Sahara nasikia na nimethibitishiwa na wengine hawajalipwa hadi miezi kumi!nadhan vyama vya wafanyakazi Kama min tawi hapo wampane Huyu bwana si ubinadamu na anakiukika kabisa
Mkuu utemi hausaidii hakuna mhindi hapo ulitakiwa ujibu swali maana hata Mimi sijaelewa tehe tehe tehe wakuletwa mtamjua tu bora hata wakuja kaelekezwa akafika
Bakhresa katipo malipo yupo vizuri,ni ny**o kama eddo kumwembe anamlipa milioni 6 hao usikute wanalipwa net 2.5m each,chezea Bakhresa wewe.
dialo halipi mishahara na hata akilipa ni midogo,amejaza chadema tu kazi kuitukana serikali, naona atabaki na mwanasheria wake ambae ni mwenyekiti wa bavicha
Ngoja Aje AKANYAGIWE Vizuri Na Wajanja Wa Mji Na Ninavyopajua Hapo Wanapohamia Ndoa Yao Naipa Miezi Six Tu Ya KUSAMBARATIKA.
dialo halipi mishahara na hata akilipa ni midogo,amejaza chadema tu kazi kuitukana serikali, naona atabaki na mwanasheria wake ambae ni mwenyekiti wa bavicha
Ndio maaana edo anazid kuwa kijana.....azam tv inapata faida kipitia ligi ya vodacom..faida nyngine bado