Volcano Temperature
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 106
- 86
Aliokuwa amewaajili mtawaweka wapi?
Ni wahindi wenzie aliwatoa India.... watarudi India.
Aliokuwa amewaajili mtawaweka wapi?
Ndugu Turnkey, tafadhali ongeza maelezo zaidi, hali ni mbaya kiasi gani? Maana tunafichwa mengi! Nimepata vidokezo vya ripoti ya IMF kwamba benki 22 zipo matatani. Funguka mkuuwananchi katoeni fedha zenu kwenye mabenki ya ndani mtakuja kulia kilio cha paka shume....na tuache kuspend hela kwa vitu unnecessary....Isaya 55:2 Kwa nini mnaendelea kulipa pesa kwa ajili ya kitu ambacho si mkate, na kwa nini kazi yenu ni kwa ajili ya kitu ambacho hakishibishi?....Baada ya miezi sita Jiwe ataomba kung'atuka...
Unamwuliza nani kupata mbadala wa kazi alizokuwa anazifanya?je ?mmepata mbadala wa shughuli alizokuwa anafanya?
hongera mkuu changamkia fursaUnamwuliza nani kupata mbadala wa kazi alizokuwa anazifanya?
Wewe ni Mtanzania au wakuja?
Hivi lugha ya lawama hiyo ndiyo inaweza kuwa suluhisho la matatizo unayodhani yatatokea?
Unaamini hakuna mbadala wa kufanya shughuli hizo?
Viwanda vingapi vilifungwa na Tanzania bado ipo?
ACHA MAWAZO TEGEMEZI. MIMI AU WEWE NI FURSA YA KUWA MBADALA
hongera mkuu changamkia fursa
tunategemea utawakoa wakulima wa manyara wa chorizo na mbaaziAsante. Nchi hii tunaijenga wenyewe hata kama ni kwa jasho la damu au kujinyima "bata"
Unamdai?Itapendeza zaidi akilipa madeni anayodaiwa halafu ndio ahamishe hizo biashara zake
Unamdai?
Kina ISISHawezi kutusaidia kwasababu wengi wetu ni wanafiki ambao bado tunamsifia kuwa anafanya vizuri na haijawahi tokea.
Toa useen wako hapa unadhani walio mkopesha ni wajinga ? nenda ww kakope hizo pesa uone kma utapewaKwani Mimi ni benk? Usikute wewe ni ndala fc unasononeko, pole sana
Ohoo ...kumbe unajua kua tatizo ni "Huku afrika tunapochekeana" sio....kwahiyo mtu anayefanya biashara alafu asilipe kodi kwa sisi victims nani kwetu anakua mbaya? Mfanyabiashara au tuliempa mamlaka ya kumfuatilia alipe hiyo kodi?Hujui kitu duniani kote ukikwepa kulipa kodi wanakufirisi instantly hasa huko ulaya huku Afrika tunacheka nao tu. Sasa serikal ya Magufuli inawashughulia then mnakuja kuwa tetea au mlikuwa mnafaidika na nyinyi.