Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

FB_IMG_1569566794467.jpg
 
Manji alimwambia hivyo mzee baba lini na wakiwa wapi?
Sio kweli amekimbia kwasababu bwana mkubwa alianza kulipiza kisasi kwa maneno aliyomuambia zamaani kuwa siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa kwenye issue ya coco beach sasa mzee baba baada ya kuukwaa ukulu kimiujiza akaanza kumlipizia taratibu
 
Aondoke tu si ndionyule aliyetaka kuichukua coco beach iwe mali yake?

Muhujumu uvhumi mkubwa huyu akwende......

Yanga oyeeee!!
 
Aondoke tu si ndionyule aliyetaka kuichukua coco beach iwe mali yake?

Muhujumu uvhumi mkubwa huyu akwende......

Yanga oyeeee!!
Kumbe. Duuh! Alitaka nini? Kuchukua COCO BEACH? Jamaa NOMA sana! Hajui kuwa sisi tuna mizimwi yetu pale?

Chumvi yangu ya kwanza niliimeza nikiwa COCO Beach, wakati huo tunaiita Oester Bay Beach.
 
Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252
Mwambieni yanga imetangulia.
 
Manji alimwambia hivyo mzee baba lini na wakiwa wapi?
Kulikuwa na mgogoro mkubwa wa coco beach wafanyabiashara wawili wanagombea kufanya biashara hapo na Manji alikuwa na makubaliano na halmashauri na wakapelekana hadi mahakamani na Manji akashinda kesi
 
Aondoke tu si ndionyule aliyetaka kuichukua coco beach iwe mali yake?

Muhujumu uvhumi mkubwa huyu akwende......

Yanga oyeeee!!
Hakutaka kuichukua coco mzee. Hizo ni propaganda tu za akina jiwe and company. Alikuwa anagombea fursa ya kufanya biashara na mfanya biashara mwingine ambae hakuwa na baraka za sirikali ya jiji. Ila Manji kwa kujua ana haki alianza kuwa jeuri na dharau na maneno mengi ya kuchefua roho
 
Back
Top Bottom