Mzee Mukaruka
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 712
- 390
Aondoke tu, in fact amechelewa ilimpasa aondke "JANA"! Hukoaendako ndiko wanataka "wafanya biashara wajanja wajanja"? Wenye kukwepa kulipa kodi? Wanao tumia mada............... na wakistukiwa wanasema wanahama!? WAHAME, kuipunguzia Serikali kero za kukimbizana na wakwepa kodi na mafisadi. Aondoke!Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252