Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia


MWEMBESI ONE

MWEMBESI ONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Messages
840
Likes
1,285
Points
180
Age
26
MWEMBESI ONE

MWEMBESI ONE

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2015
840 1,285 180
Wanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
img-20181205-wa0008-jpg.957252
 
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
5,025
Likes
4,642
Points
280
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
5,025 4,642 280
Aisee inauma sana. Maelfu wanaenda kukosa kazi wao na wategemezi wao watakosa hata uhakika wa mlo. Rais ajitafakari sana kuhusu haya yanayoendelea. Mabavu hayawezi kuisaidia hii nchi. Manji akiondoka itachukua tena miaka hamsini kumpata/kumtengeneza Manji mwingine.
 

Forum statistics

Threads 1,235,654
Members 474,678
Posts 29,229,717