Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

wananchi katoeni fedha zenu kwenye mabenki ya ndani mtakuja kulia kilio cha paka shume....na tuache kuspend hela kwa vitu unnecessary....Isaya 55:2 Kwa nini mnaendelea kulipa pesa kwa ajili ya kitu ambacho si mkate, na kwa nini kazi yenu ni kwa ajili ya kitu ambacho hakishibishi?....Baada ya miezi sita Jiwe ataomba kung'atuka...
Ndugu Turnkey, tafadhali ongeza maelezo zaidi, hali ni mbaya kiasi gani? Maana tunafichwa mengi! Nimepata vidokezo vya ripoti ya IMF kwamba benki 22 zipo matatani. Funguka mkuu
 
je ?mmepata mbadala wa shughuli alizokuwa anafanya?
Unamwuliza nani kupata mbadala wa kazi alizokuwa anazifanya?

Wewe ni Mtanzania au wakuja?

Hivi lugha ya lawama hiyo ndiyo inaweza kuwa suluhisho la matatizo unayodhani yatatokea?

Unaamini hakuna mbadala wa kufanya shughuli hizo?

Viwanda vingapi vilifungwa na Tanzania bado ipo?

ACHA MAWAZO TEGEMEZI. MIMI AU WEWE NI FURSA YA KUWA MBADALA
 
Unamwuliza nani kupata mbadala wa kazi alizokuwa anazifanya?

Wewe ni Mtanzania au wakuja?

Hivi lugha ya lawama hiyo ndiyo inaweza kuwa suluhisho la matatizo unayodhani yatatokea?

Unaamini hakuna mbadala wa kufanya shughuli hizo?

Viwanda vingapi vilifungwa na Tanzania bado ipo?

ACHA MAWAZO TEGEMEZI. MIMI AU WEWE NI FURSA YA KUWA MBADALA
hongera mkuu changamkia fursa
 
Jamani

Quality Garage tangu enzi ya uhuru Nyerere akiwepo mzalendo mkuu?
 
Bora kama mambo hayaendi siunaondoka tyuuu,namtakia mema yote huko aendako.
 
Kuna mahali niliwahi kuona msemo kama huu "A jack of all trades but A master of nothing"!!! Hivi una maana gani?!

cc: Paskali Mayalla, Mwanahabari Huru.
 
naomba mungu iwe kweli na namuombea kheri uko aendako biashara zake ziweze kushamiri.
 
Hujui kitu duniani kote ukikwepa kulipa kodi wanakufirisi instantly hasa huko ulaya huku Afrika tunacheka nao tu. Sasa serikal ya Magufuli inawashughulia then mnakuja kuwa tetea au mlikuwa mnafaidika na nyinyi.
Ohoo ...kumbe unajua kua tatizo ni "Huku afrika tunapochekeana" sio....kwahiyo mtu anayefanya biashara alafu asilipe kodi kwa sisi victims nani kwetu anakua mbaya? Mfanyabiashara au tuliempa mamlaka ya kumfuatilia alipe hiyo kodi?
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom