pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Ila manji nalo lilikuwa jizi la kupindukia, ujanjaujanja umekufia mbali.
Nyie watu wa vijiweni mna matatizo sana huna mbele wala nyuma, mchumia tumbo, unashabikia muwekezaji, mlipa kodi na mwajiri kuhamisha biashara..!! Huduma alizokuwa anazitoa utaweza kuzitoa wewe?Aondoke tu, in fact amechelewa ilimpasa aondke "JANA"! Hukoaendako ndiko wanataka "wafanya biashara wajanja wajanja"? Wenye kukwepa kulipa kodi? Wanao tumia mada............... na wakistukiwa wanasema wanahama!? WAHAME, kuipunguzia Serikali kero za kukimbizana na wakwepa kodi na mafisadi. Aondoke!
Mt Meru petrol station, Mt Meru Millers alishahamia siku nyingi sana kule ndiyo maana kuna kipindi alifunguka live kuwa Tz siyo nchi salama kwa wawekezaji, kodi zisizokuwa na maana+usumbufu, rushwa kila kitu kinawakimbiza wawekezaji.Sio Manji pekee Wafanyabiashara wengi wamekimbilia Zambia,Uzuri wa Zambia ukiwalipa kodi hawakusumbui tena na hawana EFD wala ujinga wa risiti na ndio Nchi ambayo mizigo mingi inaingia kutoka SA na China kupitia Durban maana Tanzania walikimbia baada ya kuwekewa VAT kwenye transit goods sasa imefutwa wao washazoea tena SA...bandari zipo nyingi mnaleta usumbufu watu wanaangalia kwenye unafuu tu..
We are looser! Tunapambana na umaskini kwa kumfilisi tajiri
Mt Meru petrol station, Mt Meru Millers alishahamia siku nyingi sana kule ndiyo maana kuna kipindi alifunguka live kuwa Tz siyo nchi salama kwa wawekezaji, kodi zisizokuwa na maana+usumbufu, rushwa kila kitu kinawakimbiza wawekezaji.
Huku Tz kabaki kama kanyaboya tu
Upo sahihi kabisa MkuuMt Meru petrol station, Mt Meru Millers alishahamia siku nyingi sana kule ndiyo maana kuna kipindi alifunguka live kuwa Tz siyo nchi salama kwa wawekezaji, kodi zisizokuwa na maana+usumbufu, rushwa kila kitu kinawakimbiza wawekezaji.
Huku Tz kabaki kama kanyaboya tu
TBY talks to Arif Iqbal Sheikh, Executive Director & Group CEO of Quality Group Limited, on the business environment under the new government, efforts to industrialize the country, and his assessment of the PPP landscape.Makampuni mengi sana kati ya hayo hapo juu aidha HAYAPO AU YAMEKUFA AU HAYA FANYI KAZI TENA. Hii ni kutokana na ukweli kuwa mengi yalikuwa yakiaanzishwa kwa shughuli maalum na kwa malengo maalum! Kwa mfano hiyo Quality Extended Enterprises Limited iliundwa kwa ajili ya jengo la Quality Centre! Wote tunajua hiyo kampuni iko kwenye ufilisi baada ya hilo jengo kuwa na mgogoro. Kampuni nyingine hapo juu zilianzishwa kama kampuni za KIMKAKATI ili kufikia lengo husika. Kuna kampuni zilianzishwa kwa ajili ya kukusanya mikopo na madeni yanayotokana na pesa nyingi zilizopatikana kwa ujanja! Kama huamini hili cheki na BRELA na hapo ndio utajua ukweli.
Mt Meru petrol station, Mt Meru Millers alishahamia siku nyingi sana kule ndiyo maana kuna kipindi alifunguka live kuwa Tz siyo nchi salama kwa wawekezaji, kodi zisizokuwa na maana+usumbufu, rushwa kila kitu kinawakimbiza wawekezaji.
Huku Tz kabaki kama kanyaboya tu
http://asiaone.co.in/arif-iqbal-sheikh/ Yusuph alihamishia kampuni zake austaria baada tu ya kumpata huyu CEO ARIR IQBAL SHEIKH.kumbuka aliinunua tigo kupitia kampani yake ya nje.siku nyingi sana aliona upepo unakolekea.lakini kuondoka tanzania kuhamia zambia nadhani ameamua kutanua tu biashara zake kwa afrika.QGL wako nchi 28 duniani
Kama huko hawalipi kodi na aende tuWanajamvi kumekuwa na tetesi za chini chini kuwa baada ya kuandamwa na serikali ya awamu ya tano kwa muda mrefu mfanyabiashara Yusufu Manji kuhamia Zambia. Habari kutoka kwa watu wa karibu zaidi na familia ya mfanyabiashara huyo zinasema mpaka sasa makampuni yake matatu yameshafungwa bado yupo katika hatua za mwisho wa kufunga biashara zilizobaki
View attachment 957252
Wachina vipi na UJAMAA WAO? Ujamaa wao haujawaathiri au kuna sababu nyingine ikiwa ni pamoja na neo colonialist and imperialistic policies imposed on African countries and kukumbatiwa by our many corrupt and selfish African leaders!Africa kote si salama muhimu ni kuwekeza nchi tofauti tofauti ,sera za ujamaa baada ya uhuru ndizo zilizoharibu sera za kiungozi za kiafrika.Wamekimbia kuisoma no wamewaachia wanyonge kuisoma
Wacha kubwatuka. Toa hoja. Linganisha anachopata hapa nchini na nchi inachopata wewe! Wacha habari ya wawekezaji wabaka uchumi wa nchi yetu. How much has he amassed from this countries. What he is sending to other countries has been gained here au kapata India?We vipi, kama asingekuwa na ziada au cha kuhamisha asingaliondoka, kapata au "kaiba" hapa na sasa anapeleka huko. Be analytical mwana JF usiendekeze ushabiki.Nyie watu wa vijiweni mna matatizo sana huna mbele wala nyuma, mchumia tumbo, unashabikia muwekezaji, mlipa kodi na mwajiri kuhamisha biashara..!! Huduma alizokuwa anazitoa utaweza kuzitoa wewe?
Wachina vipi na UJAMAA WAO? Ujamaa wao haujawaathiri au kuna sababu nyingine ikiwa ni pamoja na neo colonialist and imperialistic policies imposed on African countries and kukumbatiwa by our many corrupt and selfish African leaders!
Kumbeee , mh hana kosa wenye makosa ni nyinyi HAMUOMBI.Fullstop
Waondoke tu, kama walikuwa wapigaji na njia za halali zimekuwa kero waende mbona wakoloni waliondoka?Lake Oil nao naona gari zao nyingi sasa zimesajiliwa Lusaka! Je wanajitanua na Zambia au wanahamia huko taratibu!
Waondoke tu, kama walikuwa wapigaji na njia za halali zimekuwa kero waende mbona wakoloni waliondoka?
Waligeuza nchi yetu shamba la bibi,Waondoke tu, kama walikuwa wapigaji na njia za halali zimekuwa kero waende mbona wakoloni waliondoka?
Kama kuiba ni rahisi umeshindwa vipi wweWacha kubwatuka. Toa hoja. Linganisha anachopata hapa nchini na nchi inachopata wewe! Wacha habari ya wawekezaji wabaka uchumi wa nchi yetu. How much has he amassed from this countries. What he is sending to other countries has been gained here au kapata India?We vipi, kama asingekuwa na ziada au cha kuhamisha asingaliondoka, kapata au "kaiba" hapa na sasa anapeleka huko. Be analytical mwana JF usiendekeze ushabiki.
Lkn huwezi kula bila kuliwa.Kuondoka kwao ngapi tumekosa kodi ajira ,huduma,bidhaa,tozo,michango ya kila mwezi ya nssf,bima,nkWaligeuza nchi yetu shamba la bibi,