Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!

Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,

Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu

Nchi yangu ya ajabuu sana
Unalalamika sana
Kwani mpaka sasa unabiashara ngapi zinazochangia uchumi wa nchi yako ewe mlipa kodi mwenye uchungu na nchi yako?
 
Nikikumbuka Tambo za bwana Manji kipind ametajwa na Makonda kama Drug dealer, hapo ndo napata uhakika kuwa vyombo vya dola vina nguvu kuliko pesa ya MTU hasa vikifanya kazi kizalendo. Wakati wa kesi zake alitia huruma sana huyu boss. Mwenye picha yake tafadhali naomba.
43518811-9625627-Four_cops_have_come_under_fire_after_posing_for_a_photo_above_wi-a-4_16221376...jpg
 
Hivi akija muhindi aka anzisha kiwanda au pengine akachukua kiwanda kilichotelekezwa mfano kiwanda cha Tumbaku/Nguo nk, akaajiri watazania wa kawaida tena ambao hawana ujuzi zaidi ya 300, akasaidia wakulima wa Pamba/ Tumbaku wakapata bei nzuri, huku akiwalipa wafanyakazi/watanzania mishahara waendeshe maisha yao; Kipi bora? tuache kiwanda kiwe gofu?
Acheni basi kuwa na ukoloni wa fikra.
Ujue maskini na matajiri wanategemeana; Bila hao kina Manji na masikini hawawezi kupata hela
Swali ni wamefanyia nn nchi yao hawa wazalendo wanaolalamika?
 
Unalalamika sana
Kwani mpaka sasa unabiashara ngapi zinazochangia uchumi wa nchi yako ewe mlipa kodi mwenye uchungu na nchi yako?
Kwani wewe upo hapa kujua watu wanakazi zipi au upo kuwa faida ya Watanzania kupitia hoja na michango yako hapa?

Tufanye nimekwambi biashara zangu au kazi zangu, wewe inakusaidia nini?
 
Sijasema nirahisi ni ngumu na ndio maana hawa wakina Manji mwendazake aliwapeleka kunyea debe; maisha yao yote watamkumbuka!!! Mimi wacha nishindie mihogo ya 500 lakini sidhalilishwi na mtu.!
Mihogo ya mia tano haitoshi kujenga barabara. Acha kulalamika. Tumia akili, shirikiana na matajiri uijenge nchi yako.
 
Kwani wewe upo hapa kujua watu wanakazi zipi au upo kuwa faida ya Watanzania kupitia hoja na michango yako hapa?

Tufanye nimekwambi biashara zangu au kazi zangu, wewe inakusaidia nini?
Wewe una Bla bla nyingi na malalamiko kwa yusuf.

Biashara zako kama ww ni mlipa kodi zina maana kwa watanzania wote.
 
Hivi akija muhindi aka anzisha kiwanda au pengine akachukua kiwanda kilichotelekezwa mfano kiwanda cha Tumbaku/Nguo nk, akaajiri watazania wa kawaida tena ambao hawana ujuzi zaidi ya 300, akasaidia wakulima wa Pamba/ Tumbaku wakapata bei nzuri, huku akiwalipa wafanyakazi/watanzania mishahara waendeshe maisha yao; Kipi bora? tuache kiwanda kiwe gofu?
Acheni basi kuwa na ukoloni wa fikra.
Ujue maskini na matajiri wanategemeana; Bila hao kina Manji na masikini hawawezi kupata hela
Bila kulipa kodi ni nothing kwa serikali na nchi kwa ujumla utabaki kua mwizi na kanjanja la kutisha
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
kama issue ilikuwa kodi basi huo ulikuwa uzembe wa serikali, nani ana mkono mrefu kuliko wao? na kulikuwa na namna nzuri tu ya kukaa mezani kukubaliana. lkn manji peke yake kufunga biashara zake si chini ya watanzania elfu nne wamekosa ajira. nani anaumia hapo? magufuli tangu ameingia ajira zenyewe anatoa kwa manati achilia mbali kuongeza mishahara.
 
Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!

Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,

Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu

Nchi yangu ya ajabuu sana
Ukweli mtupu huu.
 
Karibu sana mwenyekiti wetu wa zamani. Hakika wazalendo wanarejea, hali ya maisha inaenda kua kama 2010 -2015. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya...

Maisha Bora kwa kila mtanzania yanarudi, sasa mama SSH amtoe jela, Rugemalira na Singa Singa. Wanaostahili kua ndani ni makonda na Sabaya...

Wazalendo akina Lugumi wapewe tenda za majeshi yetu, unacheza na JWTZ wewe gusa uone moto. Miradi ya jiwe tupige Chini, ni hasara kwa nchi. Tuongeze mishahara na kuimarisha diplomasia. Hahaha hahaha nimefurahi sana, hakika mzee wa Msoga ni gwiji la siasa.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje !!! Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi!!!! Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi!!!
Arusha wahindi wameshaanza unyanyasaji, Leopard tours wanawafukuza wajasiriamali waliopo karibu na jengo lake pale sekei opposite na mount meru hoteli, wametakiwa waondeke na amri inatoka kwa watendaji wa serikali, yaani hata kama unafanya biashara mita 50 karibu na jengo lake unatakiwa kuondoka

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Tutamkumbuka Rais wetu mtetezi wetu MAGUFULI,

Back
Top Bottom