yusuf manji

The following is a list of characters in the television series 24 by season and event. The list first names the actor, followed by the character. Some characters have their own pages; see the box below.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

    Huyu kada mkongwe wa CCM na Diwani mstaafu wa Mbagala amekuwa kimya sana kwenye Siasa za Tanzania Yuko wapi Huyu Mwamba?
  2. demigod

    Kaeni mkao wa kula, msiempenda kaja - Yusuf Mehboob Manji

    Nasema hivi, Yule msiempenda anasogea kwenye meza ya chakula, maana ameonekana akinawa mikono na kijifuta kwa taulo safi jeupe. Amesema kuwa atashiriki kwenye chakula cha jioni siku ya Jumapili, Juni 27, 2021. Mwenyekiti wa zamani klabu ya Yanga SC, Yusufu Manji yuko nchini na anatarajiwa...
  3. Semahengere

    Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

    Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka. Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani? Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery. Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
  4. M

    Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

    Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
  5. M

    Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika hajafurahia kwa 100% urejeo wa Yusuf Manji nchini ni Paul Makonda

    Kwa Shutuma zake nyingi na zisizovumilika namuomba Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan aamuru Kukamatwa upesi kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kisha Yusuf Manji awe Shahidi #1 wa yanayomsibu. Kila nikikumbuka Tukio alilofanyiwa Manji wa Watu pale Kwake Sea View huku Paul Makonda...
  6. TheDreamer Thebeliever

    Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

    Habari wadau! Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani. Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
Back
Top Bottom