Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

Wakuu,

Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM na akashindwa, amekuja na kiroja na kituko.

Eti amemtaka askofu Mokiwa amuombee mwanae January aote nywele kwa maana Mokiwa alitoa tamko kuwa hawatakuwa tayari kuongozwa na wanyoa unga.

Hii kauli inadhihirisha uelewa mdogo wa wanaCCM

Toa habari yote, sio vichwa vya habari tu.
 
Makamba aache kauli za kihuni,tangu lini mtu anaombewa nywele ziote ilhali amenyoa mwenyewe?Hii nchi hapa ilipofikia ni sharti apayikane raisi makini mwenye kututoa hapa tulipo,mtu serious mwenye uwezo wa kupambana na mfumo uliozoeleka serikalini,hatutaki mtu ambae anasema watuhumiwa wa EPA wakikamatwa nchi itayumba,to me, January is too young to handle such pressure.
 
Mokiwa ndiyo mhuni wa kufa m2 huyu jamaa hakustahili kabisa kuwa askofu kuna wakati fulani huy jamaa alikuwa
 
Nilishasema! January Makamba atakua Raisi wa Bumbuli tu!
 
katika maaskofu wenye akili sana na great thinker tanzania, mokiwa ni mmoja wao
 
Katika hali ya kukasirishwa na kitendo cha kauli ya askofu mokiwa ; kusema nchi aitaongozwa na wanyoa unga (watu wenye vipara); mzazi wa januari makamba kwa kutumia tafsida , ya kuwa kipara si ugonjwa au kilema na kama askofu akaona ni ugonjwa au kilema . Amfanyie maombi januari ili nywele ziotea .

Ushauri . Askofu najua kajua kauli yake imemchukiza mzazi . Ni wakati wa kuomba au kufuta kauli yake.
Mambo yaende

hamna kauli kauli ya kufuta hapo ila bi kusisitza tu, HATUWEZI KUONGOZWA NA WANYOA UNGA
 
Makamba atakuwa bize na tunguli ili mwanawe apate Urais...ni hivi nchi hii haitaongozwa na muislamu tena na hasa kama anayoa upara ndo kabisaaaa

Akili yako ndogo.Nyie ndio mutatuharibia nchi yetu Kwa kuiingiza kwenye udini
 
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi kumshitaki Askofu Dk. Valentino Mokiwa wa Anglican.

Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.

Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo ufisadi wa au wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Iringa.

Mtikila alivyoitwa na Askofu kujadili hilo alifika na wenzake watatu wa taasisi ya Liberty International Foundation na wakakaribishwa kwenye moja ya jengo la dayosisi ya St. Nocholas, usiku wa saa 03:00.

Muda mfupi baada ya kikao kuanza, Askofu Mokiwa ambaye alikuwa na wenzake saba, alisimama na kuwataka wajumbe wote wakaguliwe kama kuna mtu ana kinasa sauti, kazi ambayo aliifanya yeye baada ya kufunga mlango.

Katika upekuzi huo ndipo tuhuma hizo zilipopatikana kutokana na madai kwamba operesheni hiyo ilienda mbali zaidi ya lengo la kawaida.


"Mlalamikiwa alitangaza kuwa, kila mtu aliyekuwemo kwenye mkutano lazima apekuliwe na kwamba atakayekataa angetumia nguvu, kwa kuwa alikuwa na bastola, hakuna aliyebisha.

Alianza kupenyeza mikono yake kwenye shingo kuelekea chini kisha huko chini mikono ya mlalamikiwa ilionekana waziwazi ikipepesa sehemu za siri za mlalamikaji".

Mchungaji Mtikila ameiomba Mahakama imwamuru Askofu Mokiwa alipe fidia ya shs. bilioni moja kwa kumdhalilisha. Madhara zaidi ya kitendo hicho ni pamoja na mfadhaiko, masikitiko, wasiwasi, aibu katika jamii na kupata shinikizao la damu la mara kwa mara na matatizo ya moyo

Kesi inataarifiwa kuwa kwenye Mahakama ya Kisutu, chini ya Hakimu Mchome.

SOURCE: AMANI
DATE: TODAY
PAGE: 02,03
MHARIRI: 0714-895555,

Mokiwa anamatatizo gani?sasa anashtakiwa Kwa kumshika Mtikila makalio
 
Kwa yeyote aliewahi kumsikiliza january akiongea atakubaliana nami kua ni kichwa...hata maamuz anayo ulizeni ttcl alifanya nini....ile wizara angekabidhiwa could b beter than now..january for presidency
 
Mzee wangu Makamba tulia huko Maheza Nguru lima mapeasi, siasa ulishazishindwa hizi.
 
Huu ni msimamo wako binafsi na hauwakilishi mawazo ya wakristu wengine. Tupo tayari kuongozwa na waislam hata kumi wafuatane ila wajue hawakuchaguliwa kuwafanyia kazi waislam bali Watanzania wote.

Mkwistu wa kwa gwajima...unawashwa eeh ..mchungaji kaacha kuwashugulikia nini..nchi haitaongozwa tena na muislam...ni bora tuongozwe na sokwe kuliko muislamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom