Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
Kumbe albadir walisomewa wengi!
Wewe mavi towa boriti kwanza kwenye jicho lako mnafki mkubwa wewe.
Acheni unafiki hivyo viwanja mlimuuzia wenyewe kwa mapatano awatafutie viwanja nje ya mji ili mjenge university na akawapa hivyo viwanja na pesa leo mnazuka kumsingizia niniYussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Acha unafiki wewe viwanja hivyo mlimui
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Sina upande kwenye haki. Kumbuka hilo.
Umenena vyema lakini hakuwa mwenyewe .Wako waliomuwezesha ambao walikuwa madarakani wakati huo na kwa sasa wanatanua tu kwa pesa walizopewa na huyo bwana. Tena watu wenyewe ni waislamu wenzake. Je nao mliwasomea? Au mlimsomea manji tu?Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Unauziwa Mali za Waislam kifisadi halafu unasema zimeuzwa kihalali? Mbona Magufuli ameuona ufisadi ule na kuahidi kuushughulikia? Lkn wenye chuki watabariki uuzwaji wa Mali za Waislam bila aibu. Shame on you!!!!Hayo maombi mabaya mlitakiwa kuyaelekeza bakwata sio kwa mtu aliyeuziwa kihalali
Kumbe usipovuta ugoro kibibi unaakili sana,ushauri huu sio kwake tu ni kwa wote uwe muislamu au mkristo pale ambapo unapofikia kucheza na kudharau kweli ya Mungu hauwezi kuwa huru hata kidogo. Hongera sana kwa ushauri wakoYussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo.
Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako na kuomba toba.
Toba nnayokushauri kuiomba hapa, si kwa serikali wala kwa watawala. Toba nnayokukumbusha mimi kuiomba ni kwa Mola wako Muumba mbingu na ardhi.
Manji uliwakosea sana Waislam kipindi cha nyuma kiasi, kwa kutumia fedha zako kununulia viwanja vya wakf vya Waislam, na kuwa mkaidi kila uliposemeshwa kuhusu hilo.
Viwanja hivyo ambavyo historia inaonyesha kuwa vilikuwa vijengwe chuo kikuu cha kwanza Tanganyika (hilo halikufanyika lakini hilo ni simulizi jingine kabisa ambalo Alama Mohamed Said anaweza kulisimulia vizuri zaidi).
Ulifatwa na Waislam wakikuomba kuwa mkataba ulioingia na BAKWATA ni wa kidhalimu na haufai lakini kwa ukaidi wako hukuwasikiliza na uliwatoa njiani na kuendelea na mkataba wako.
Sakata la viwanja hivyo lilipelekea Waislam kufungwa, kupigwa na kujeruhiwa mpaka walipoona kuwa hawakuwezi kwa ajili ya kutumia fedha zako na nguvu ya baadhi ya waliokuwa BAKWATA, Waislam wakafikia maamuzi makali ya kuwa sasa wanakushtaki kwa Mwenyeezi Mungu.
Miaka imepita ukidhani kuwa shtaka hilo halina meno kwako, lakini leo tunashuhudia ukigeukwa kila upande.
Aibu ya kushikwa na kuwekwa ndani pekee si ndogo kwa mtu wa "caliber" yako. Licha ya kupimwa na kukutwa kuwa u mlevi wa madawa, tumeona sakata la Oysterbay likikutia hasara kubwa sana, tumeona wafanyakazi wako wakifungiwa kuingia kwenye ofisi zao, tunasikia akaunti zako zinafungiwa kila kukicha.
Kama hiyo haitoshi, tunasikia umepatwa na matatizo ya moyo. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an tukufu:
Qur'an 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. Maelezo
Kwa yote hayo bado tu hujashtuka ni kwanini yakukute yote hayo? Nakusihi, zingine zote ni sababu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, Waislam wameitikiwa dua zao dhidi yako.
Yussuf Manji tunakutaka usiwe katika wale ambao:
Qur'an 2:7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. Maelezo
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Fata nasaha hizo uone mambo yatavyokunyookea.
Jikumbushe:
Maimamu kumsomea Manji Ahla-badri
Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha
Waislamu wataka jengo lao toka Quality Group | Bongo5.com
MKATAMBUGA: WAISLAMU WAMELOGWA NA NANI?
Manji hakuna wakukuokoa katika haya na hayatokwisha ukifanya dharau isipokuwa wewe mwenyewe, anza kwa kumrudia Allah na kumuomba toba.
Na Mwenyeezi Mungu ndiye ajuwae zaidi.
Umenena vyema lakini hakuwa mwenyewe .Wako waliomuwezesha ambao walikuwa madarakani wakati huo na kwa sasa wanatanua tu kwa pesa walizopewa na huyo bwana. Tena watu wenyewe ni waislamu wenzake. Je nao mliwasomea? Au mlimsomea manji tu?
Sasa kwa nn sasa hv unamtetea Bashite kuwa asitoe vyeti...mbona mwanzoni Manji alipowekwa rumande ulisema hii vita ya Madawa ni kundi moja linataka kumaliza jingine
Ukasema inawezekana Bashite anatumia kumkomoa Manji
Ukawataja mpaka wa wala Unga wengine watu wakubwa tu tena kwa majina Kabisa na ukahoji kama ni vita ya Madawa kweli mbona wao hawajakamatwa.
Ukasema Bashite ana uhusiano usio wa kiafya na GSM na hao GSM ukasema wanafanya Biashara ya ngada??
Sasa hv umemgeuka Manji ghafla upo na Bashite kwa nguvu zote... Acha kuwa vuguvugu mama kama ni moto kuwa moto kama baridi uwe baridi tujue moja.
"Wenyewe", kina nani?