Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Upunguze udini kama huna cha kuandika bila kutanguliza udini wachaKumwambia Manji aombe toba kwako ni udini?
Mwambie basi asiombe toba.
Upunguze udini kama huna cha kuandika bila kutanguliza udini wachaKumwambia Manji aombe toba kwako ni udini?
Mwambie basi asiombe toba.
Hawana lolote zaidi ya unafikiAllah anakuona ulivyo ndani...
Nendeni mahakamani kama ni madai ya kweli
Hii sijui kama nimeielewaKwa Mungu hakuna kila jambo linawezekana. Mungu atamsaidia Manji kuondokana na Mapito haya.
hili eneo la chango'mbe lininiuma sana pamoja kwamba si mwislamu na kila nikimuona huyu jamaa nikikumbuka hasira yangu kwake inakuja.Kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni wingi wa kusamehe na hachoki kusamehe, tunakutaka uombe toba kwa mola wako, umtake radhi, uwatake radhi na Waislam na uwarudishie viwanja vyao na mali zao, tena usithubutu kuvirudisha kwa wale wale waliokuuzia, itakuwa haina maana kabisa. Virudishe kwenye taasisi za Kiislam zenye kumuogopa Mwenyezi Mungu au tumia viwanja hivyo hivyo kuanzisha Manji Islamic Trust Fund na uiendeshe mwenyewe kwa manufaa ya Waislam.
Kama hujaelewa basi huko shuleni ulienda kusomea ujinga(in faizafoxy's voice)Hii sijui kama nimeielewa
hili eneo la chango'mbe lininiuma sana pamoja kwamba si mwislamu na kila nikimuona huyu jamaa nikikumbuka hasira yangu kwake inakuja.
sijui kwa kuwa nilikulia maeneo hayo sasa walaka huu uende na yule aliyejimegea eneo la msikiti akafanya shule ya kwake arudishe pia.
LabdaKama hujaelewa basi huko shuleni ulienda kusomea ujinga(in faizafoxy's voice)
Wewe mavi towa boriti kwanza kwenye jicho lako mnafki mkubwa wewe.Kumwambia Manji aombe toba kwako ni udini?
Mwambie basi asiombe toba.
Asante sana mkuu kwa kugundua unafiki wa huyu kigaguraWewe mavi towa boriti kwanza kwenye jicho lako mnafki mkubwa wewe.