Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

MTULIA KAPIGIWA KIPAIPAI. YUPO RUFIJI KWA MASANGOMA. KAWA CHIZI. MBAYA ZAIDI INASEMEKANA YUPO MWEZINI,BREEDING KWA NYUMA. HIVYO ombi mpelekeeni pampasi na Pedi atawashukuru mno.

Vipi raisi wa malaika kashindwa kumuombea?
 
Ni taarifa kutoka kwa jamaa yetu Miraji Kibonde ambaye anadai amekutana na mh Mtulia katika duka moja la viatu hapo jijini Pretoria. Miraji amesema walisalimiana kisha kila mtu akaendelea na uchaguzi wa ndopa. Niishie hapo!
 
Mmh bado ypo kwao anatibiwa kichaa. Nimemuona leo hii tu
 
Ni taarifa kutoka kwa jamaa yetu Miraji Kibonde ambaye anadai amekutana na mh Mtulia katika duka moja la viatu hapo jijini Pretoria. Miraji amesema walisalimiana kisha kila mtu akaendelea na uchaguzi wa ndopa. Niishie hapo!
Hongera zake kwa kutumia kodi zetu ila ipo siku yake atazilipa RIP akwilina
 
Kwahiyo yule mliosema anatibiwa kwa sangoma kutoa kipapai ni pacha wake!?... halafu toka lini mtu kufanya shopping south imekua big news?. Kahamia CHAMA KUBWA huku kila mmoja anajiweza!
 
Back
Top Bottom