Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Kwahiyo wasiwasi na elimu yangu imeingiaje hapo? We ni mtaalam wa kupima viwango vya elimu? Hebu ondoa wasiwasi wako sasa unahisi elimu yangu ni ya kiwango gani?Na wasiwasi na elimu yako.Post yangu ni summary ya maoni niliyoyasoma,jinsi gani FIKRA ZA BAVICHA zinavyo perceive mattz yanayowakuta wanaccm na mattz hayohayo yakiwakuta wanachadema.Nimepitia comments nyingi na nimekutana na comments kama:malipo hapahapa duniani,mara albadili,karma nk.Post yangu haihoji ukweli wa nini kinaendelea kuhusu mtulia bali ni jinsi gani mattz ambayo yanazaniwa kumkuta mtulia yanajadiliwa.FUNGUA FIKRA na UELEWE nini NAONGELEA.ACHA KUKARIRI.
Napenda kujua pia unajuaje mchangiaji mada ni bavicha. Ingependeza pia ukanambia bavicha ni nini...
