Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

Bavicha huwa wanafurahisha sana.Sina uhakika na nini kinaendelea kuhusu mtulia,lkn napatwa na wasiwasi juu ya UWEZO WA KIFIKRA KWA WAFUASI WA CHADEMA.Juz mbowe kaumwa na cjui anaendelea vipi,kwa siasa za kipuuzi toka kwa bavicha ilitakiwa uvccm nao waanze kutembeza propaganda za ooh albadili mara malipo ni hapahapa,karma nk.Hizi ni AKILI MFU.Wao huamini kila mwanaccm anayepata ttz ni malipo ya Mungu na dhana potofu za ramli ila viongozi wao wakipata mattz ni kutafuta huruma ya Mungu na kutafuta namna nzuri ya kuliongelea.

Chama kikifika kuongozwa na mtu wanayemwona kwenye Instagram tu kupokea maagizo yake, automatically wanachama lzm wawe na AKILI MGANDO.
 
Hahahah lakini Mbowe yuko salama na juzi alikuwa Arusha. Mtulia yuko wapi??
 
Nimeelezea scenario ya kupatwa na mattz na jinsi BAVICHA wanavyofikiri kutokana na upande ttz lilipotokea.Sijui kama umeelewa nini nimeandika.Jifunze kuongozwa na FIKRA NA SIO HISIA.
 
Kwahiyo fikra zako zinakutuma mtu akitaka kujua hali ya afya ya Mtulia ni shurti afya ya Mbowe ihusishwe?

Huko shuleni siku hizi mmeenda kusomea ujinga?
 
Na wasiwasi na elimu yako.Post yangu ni summary ya maoni niliyoyasoma,jinsi gani FIKRA ZA BAVICHA zinavyo perceive mattz yanayowakuta wanaccm na mattz hayohayo yakiwakuta wanachadema.Nimepitia comments nyingi na nimekutana na comments kama:malipo hapahapa duniani,mara albadili,karma nk.Post yangu haihoji ukweli wa nini kinaendelea kuhusu mtulia bali ni jinsi gani mattz ambayo yanazaniwa kumkuta mtulia yanajadiliwa.FUNGUA FIKRA na UELEWE nini NAONGELEA.ACHA KUKARIRI.
 
Bavicha huwa wanafurahisha sana.Sina uhakika na nini kinaendelea kuhusu mtulia,lkn napatwa na wasiwasi juu ya UWEZO WA KIFIKRA KWA WAFUASI WA CHADEMA.Juz mbowe kaumwa na cjui anaendelea vipi,kwa siasa za kipuuzi toka kwa bavicha ilitakiwa uvccm nao waanze kutembeza propaganda za ooh albadili mara malipo ni hapahapa,karma nk.Hizi ni AKILI MFU.Wao huamini kila mwanaccm anayepata ttz ni malipo ya Mungu na dhana potofu za ramli ila viongozi wao wakipata mattz ni kutafuta huruma ya Mungu na kutafuta namna nzuri ya kuliongelea.

Chama kikifika kuongozwa na mtu wanayemwona kwenye Instagram tu kupokea maagizo yake, automatically wanachama lzm wawe na AKILI MGANDO.
Kifo cha Akwilina kimetokana na roho za kinyama ambazo kimsingi hazina hofu ya Mungu.
 
Wakishachaguliwa mchezo umeisha! Hakuna cha kutatua kero wala uzalendo, anatafuna vinono ofisini tu...
 
Mnataka Kusema Na Mkuu Naye Anaweza Kurogeka ?
images.jpeg

Anatumia hii
 
Mtulia-Akwilina(RIP)-Mtulia
Mtulia ndio kiongozi wa maandamano?Ungekua na akili hata ujazo wa kisoda ungewataja Mbowe,Askari na DED kuhusu aquilina.Ila kwakua Ndo hivo tena hujui nani alaumiwe na kwa nini unajiropokea tu.Pole sana.
 
MTULIA KAPIGIWA KIPAIPAI. YUPO RUFIJI KWA MASANGOMA. KAWA CHIZI. MBAYA ZAIDI INASEMEKANA YUPO MWEZINI,BREEDING KWA NYUMA. HIVYO ombi mpelekeeni pampasi na Pedi atawashukuru mno.
Hii plan b kama ni kweli inafaa kuwa endelevu kwa vibaraka wote   
 
Story za Aquilina zimekuja vipi kwenye comment yangu?Au unaongozwa na HISIA?
Hao ndio Bavicha bwana, Makamu Mwenyekiti wao amejiuzuru sababu ya akili zao za kushikiwa. Ati kwa mini afanye interview na Mtulia!!! Wanadhani ofisi ya Mtulia ipo JF. Watabishana humu yupo wapi mwenzao yupo field anapiga kazi
 
Back
Top Bottom