Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,787
- 2,665
Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu...
Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja
Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati