Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Kama nauona vile huo moyo ulivyogubikwa na wimbi la majuto[emoji28]
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana ukagoma![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata moyo wako mama kuna yule unampenda nae walau anarespond huyo ndo wa kumshikilia

Tatizo wadada mko desperate sana na kuolewa...kuliko kuolewa na mtu usie na mapenzi nae bora kuitwa msimbe nk....

Ni mtazamo wangu tu ambao unapishana na katoto kazuri kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh...hapa sijaelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au anahela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishoe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka tokea wimbo wa vileti mpaka tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango .
Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nawangu tunamiadi naye yambele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja .
Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unammsema unamuwaza unakuwa unamuota naunajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula nakusepa sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.
Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake.
Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.
Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee.
Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.
Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda .
Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu awadaidie basi wakuelewe
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....
Utaolewa unayempenda wewe ila deep kwake hakufeel kabisa napia utakuwa unajitesa asilimia kubwa mtu anayekufungulia moyo ndio mtu trust me

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisitizia...
Katika yote uliyoyasema, wakumbuke hili hata kama watasahau hayo yote. Classmate wangu waliokuwa wanachugua bado wako single ama ni ma-single mother in their 40s. Walioamua kuwa na sisi, ndio wanafamilia zao. Siyo matajiri lakini wanakula, wanavaa, wana usafiri, sehemu ya kulala na watoto hawaendi IST lakini wanakwenda shule nzuri. Sasa hivi hao wenzetu wakiolewa nadhani itakuwa na wanaume wagane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivip mkuu...nisaidie hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua kuna upendo wa asili kwa kitu na upendo wa ku adopt
Rafiki yangu mmoja alikuwa ni kiwembe hatari baada ya kuumizwa sana na wanawake
Ilikuwa amepoteza kabisa matumaini ya mapenzi halisi kwa binti yeyote akikuwa ana hit and move

IKtokea binti mmoja akampenda kiasi ambacho hakielezeki, mimi nikatambua na nikamwambia mzee huyu manzi ndiyo hazina yeye akawa anasema ooh hayuko moyoni
Nilimshwashi sana atulie naye hata kwa unafiki, kna mambo mengi ya kuvutia akawaa anatendewa na yule binti baada ya hapo aktambua nafasi ya yule mwanamke na kunishukuru kwa kumpigania
Leo hii ndio mkewe na anampenda kupita maelezo
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulisema wengi ila kwa sasa tunakumbuka mengi tunasema laito tungesema ndio hapa tusingekuwa tunashaanga shangaa unajua maisha nikudhubutu sio kijaribu.
Utazunguka kumbe mume yupo hapo kwako karibu mnaongea kila siku ila akija kuoa ndio mwisho wakujishaua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wazima,
Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au anahela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishoe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka tokea wimbo wa vileti mpaka tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango .
Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nawangu tunamiadi naye yambele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja .
Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unammsema unamuwaza unakuwa unamuota naunajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula nakusepa sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.
Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake.
Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.
Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee.
Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.
Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda .
Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.
Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kabinti huku kajinga kamemuacha mchumba wake kisa mshkaji mtumishi mhuni huni tu. Kisa huyo mchumba ni mkulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom