Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Shida ni kwamba utajuaje kama huyo anayedai anakupenda yupo real na wewe? Nimesikia eti Upendo wa maskini hauaminikagi 100% teh teh. Mtu anaweza akawa anakomaa na wewe as choices zake anazozitaka zinamkataa kisa hana hela; you are what is available kwa muda huo. Siku akipata hela ndo anaanza wewe sio wa hadhi yangu blah blah. So wadada hawataki hizo shida za kupanda na wewe juani; muda wa kula kivulini unaenda kula na wa hadhi zako.

Afu kuwa maskini doesn't make you a perfect partner, sio kila mtu anaweza kukuchukulia weakness zako; so mtu akikukataa shukuru tu.
Sio lazima aww maskini sio lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unamaanisha alikukataa kisa alikuwa na mtu mwingine?. Me nafikiri alikuwa sawa tu kukukatalia as alikuwa anayaheshimu mahusiano yake. Tatizo mtu ukiwa huna hela, basi unakuwa insecure; ukitongoza unataka tu ukubaliwe otherwise unahisi umekataliwa kisa huna chapaa. Huwezi kukubaliwa na kila mtu jamani

Mdada alikuwa faithful; unfortunately moyo wa mtu ni kiza kinene; hakujua mwenzie anamuwazia nini. Inawezekana angemzingua huyo jamaa afu akakukubalia wewe; na still usimuoe ukaishia kumfanya single mom au mkaachana tu

Afu what exactly do you guys want? Tukisema tukomae kuwa loyal na nyie; tukatae wa pembeni; tukiachika baadaye mnatusonya. Utajisikiaje uwe na baby afu akuache tu akaolewe na mwingine? Eeeh utakavyo laani sasa na kumuombea mabaya. The girl did the right thing at that time and possibly kwa muda huo mahusiano yalikuwa ana afya kabisa.Ni vile tu hatujuagi kesho zetu zitakuwaje na pia waoaji hawana alama; otherwise tusingepotezaga muda kwa watu wasio na future na sisi
Hahaha yule manzi anaishi maeneo ya karibu yangu.. mi nko na wife na katoto ketu ka kiume (kamanda).. yy kesha choka.. lkn ukweli nilitaka kumuoa kabisa.. nilimpenda yy na familia yake na nilijipa matumaini ila alinidharau na sio tu sababu ya yule boya hata majibu ya kiwaki afu mi muhuni nifall mazima kwake yule afande alikuwa anajipigia kisa magwanda yake.. nkasema najipa miaka 6 tu nampita yule mtu.. hahahah huwezi amini yule manzi now hana hili wala lile na yule jamaa yake ananifungulia geti job huku nikienda mpelekea yule manzi yake TOTO AFYA KADI... MUHIMU ni kwamba wanaume wako wa AINA MBILI TU.. Wale ambao wakikutongoza hupenda sana wasumbuliwe kiasi na wale ambao hawapendi hizo drama.. Mwanaume akitaka kukuoa wala hajifichi na huo ndio ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haipo hivyo wakati wote. Kwenye haya maisha omba tu upate mtu mwenye "utu". Kuna mtu ni maskini and yet hana utu. Afu hujawahi ona mtu mnaanzia chini wote ila mkifanikiwa, vitu anavifanya vya kwake peke yake. Mna gari ila hadi kulipanda ni uwe umezidiwa unakimbizwa hospital. Sio matajiri wote ni wanyanyasaji; tena naonaga ni rahisi kumgundua tajiri mnyanyasaji kuliko maskini ambaye kukosa pesa kunamnyamazisha kidogo
Hahaha sasa ubaya huko kivulini unapotaka kuanza kulia bila kujua mtu kahuslte vipi lazma kuambatane na manyanyaso! Mbaya zaidi ni kutafunwa na kutemwa kama Big G
 
Yaaan imebaki namuonea huruma huyu kaka asee!

Mwanzo nilikuwa nakuwa mkali kwake, but nikaja kugundua kuwa nakosea, bora niwe mpole asee, yaan namkataa kistarabu sio kimatusi kama mwanzo!

Thanx God hayumo humu JF maana angenisoma angejisikia vibaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
iam sure siku akikataa tamaa utarealize kwamba he deserves you kwa kiasi flani hapo ndo utaona moyo ulivyokuwa wa ajabu its like ulikuwa umeficha feelings zako kwake ...talking from experience yangu binafsi ....lakini that doesnt mean na wewe itakutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha yule manzi anaishi maeneo ya karibu yangu.. mi nko na wife na katoto ketu ka kiume (kamanda).. yy kesha choka.. lkn ukweli nilitaka kumuoa kabisa.. nilimpenda yy na familia yake na nilijipa matumaini ila alinidharau na sio tu sababu ya yule boya hata majibu ya kiwaki afu mi muhuni nifall mazima kwake yule afande alikuwa anajipigia kisa magwanda yake.. nkasema najipa miaka 6 tu nampita yule mtu.. hahahah huwezi amini yule manzi now hana hili wala lile na yule jamaa yake ananifungulia geti job huku nikienda mpelekea yule manzi yake TOTO AFYA KADI... MUHIMU ni kwamba wanaume wako wa AINA MBILI TU.. Wale ambao wakikutongoza hupenda sana wasumbuliwe kiasi na wale ambao hawapendi hizo drama.. Mwanaume akitaka kukuoa wala hajifichi na huo ndio ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe kaka ingekuwa waoaji mnatambulika kirahisi; dada zako tusingekuwa tunagendaheka na ulimwengu. Some people are good pretenders, unahisi ndoa hii hapa; kumbe mweeh ni tapeli konki. Na mwingine anaweza akawa genuine, ila msifanikiwe kufunga ndoa; mkashindwana kwa sababu ya mambo fulani fulani

Afu unavyomponda huyo ex; are you sure maumivu ya kukukataa yalishaisha?
 
Haipo hivyo wakati wote. Kwenye haya maisha omba tu upate mtu mwenye "utu". Kuna mtu ni maskini and yet hana utu. Afu hujawahi ona mtu mnaanzia chini wote ila mkifanikiwa, vitu anavifanya vya kwake peke yake. Mna gari ila hadi kulipanda ni uwe umezidiwa unakimbizwa hospital. Sio matajiri wote ni wanyanyasaji; tena naonaga ni rahisi kumgundua tajiri mnyanyasaji kuliko maskini ambaye kukosa pesa kunamnyamazisha kidogo
Point[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm speaking from experience pia; unaweza usijute chochote. Ilishawahi nitokea; nilikuwa namuonea tu huruma yule mkaka; ila nikasema kuliko kumkubalia kwa huruma afu nije nimuumize; bora nimkatae tu aumie now ila huko mbeleni Mungu anaweza mpa wa kufanana naye. He was there hata kabla sijaanza kudate, all the heart breaks i went through before, hamna hata siku moja niliyosema i wish nirudi kwake na alikuwa single bado. So ukisema moyo kugoma; me nakuelewa vizuri. Kama unashindwa kujifunza kumpenda huku nje; huko ndoani utalia na kujionea huruma.
Oooops...means itakuwa too late or?

Daaah...umenifungua kitu hapa!

Let me focus with other issues!

Kumbe sitakiwi kukurupuka eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom