Maisha ya mapenzi ni kama circle katoto kazuri anampenda wiz kid na wiz kid anampenda joyce na joyce anampenda joseph na sasa katoto kazuri anapendwa na martin so katoto kazuri atakuwa na martin kwasababu fulani you see huu ndio mzunguko wa mapenzi.
Unaweza kukuta joseph anamanzi watatu hata joyce ana wanaume idadi yake mwenyewe so akija joseph hiyo ni tyme yake ila ukweli ni huu inampigiaga mahesabu mtu ambae sio.
Kwa hiyo unaishilia ndio basi tena single or married ila no happy.
Sent using
Jamii Forums mobile app