Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,899
Poa Nkamu ghwangu......Nkamu vp
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Poa Nkamu ghwangu......Nkamu vp
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Poa Nkamu ghwangu......
Odds si ziko upande wako lakini? Sijui hiyo term ndio huwa inatumika hivyo teh
[emoji16][emoji16] umeanza kunitania hadi mimi dada yako eeh?Mimi natania bana, nimefurahishwa tu na jinsi ulivyosema eti mkeka unachanika.
[emoji16][emoji16] umeanza kunitania hadi mimi dada yako eeh?
Haha wewe tulia bwana tutakaa kikao tuje na jibu mojaHii thread mmenichanganya sana.
Nasubiri hitimisho hapa ili nijue, je mtaolewa na wanaowapenda au mnaowapenda nyie. Maana mpaka hapa mzani umebalance.
Haha wewe tulia bwana tutakaa kikao tuje na jibu moja
[emoji16][emoji23][emoji23]Hii thread mmenichanganya sana.
Nasubiri hitimisho hapa ili nijue, je mtaolewa na wanaowapenda au mnaowapenda nyie. Maana mpaka hapa mzani umebalance.
Hili ni somo gumu sana kueleweka ila ndio kitu sahihi na cha ukweli. Wadada kuweni serious na sie wenye mapenzi ya dhati! Pesa zinatafutwa tu. Mwanaume anaekupenda atajitoa kwa hali na mali kuhakikisha hakupotezi na anafanikisha malengo ya kimaisha na wewe. Uzuri mnaweza kujifunza kumepnda mtu taratibu kwa namna mnavyokuwa karibu nae mda mwingi!Utaolewa unayempenda wewe ila deep kwake hakufeel kabisa napia utakuwa unajitesa asilimia kubwa mtu anayekufungulia moyo ndio mtu trust me
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa ushuhuda wangu..
Niliwahi kumpemda dada mmoja yuko smart na ni mzuri wa sura na shape.. ndani ya macho yangu lkn..
Demu alinikataa kisa kuna kamanda mmoja hivi.. nikasotea sana papuchi yake.. nikalilia sana nafasi kwake dah kwa wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo lkn nko na biashara zangu..
Now nko kwenye ajira, gari nzuri kwa level yangu, nyumba na hata pesa ya dagaa hainishindi.. Yule manzi now yupo yupo tu kazalishwa na yule fala na kaachwa..
Now ananipigia simu kuomba msaada hata wa mtoto nimemsaidia kupata TOTO AFYA KADI...
NDIO AJIONE UJINGA WAKE FALA YULEEE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa...unafiki hauwezi kuisha dunianiHaha kuna mtu alileta uzi humu akidai ameshindwa kumpenda mume wake alidhani atampenda mbele ya safari plus pressure za ndugu jamaa na marafiki akajikuta anaolewa sasa yamemfika hapa ....wee watu walimchamba akachambika, ooh kwa nini uliolewa naye, ulikuwa separate, mara ulifuata pesa, wengine ooh ungemwacha kaka wa watu angekutana na anayempenda we ulijipeleka kufanya nini na mtu humpendi? Mradi tafrani. Leo wamegeuka ukiona mtu anakupenda we hata kama humpendi olewa tu...mtutue jamani life is too short
Hapa ndipo napowakubali akina Hawa! Ye akipenda anakuwa haangalii mbele kama kuna obstacles gani ama consequences gani atapata. Mwache aendelee kuganda asipohitajika akila mtoso ndio akili itamkaa vizuri!Maajabu huyo mkulima baada ya miezi 3, anavuna mazao ya 4+ M, huyo mhuni manzi ndo anamhonga kimshahara cha 80k per month, wkt yupo na mchz, mchz alikuwa anamhudumia kila kitu. Kahamia kwa mhuni kisa mtumishi wa serikali bdl yake yy ndo anahonga ili apendwe zaidi baada ya kugundua mhuni ana mchumba wake wa kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
kama upo free jaribu ila weka nia ndani yake
Shida ni kwamba utajuaje kama huyo anayedai anakupenda yupo real na wewe? Nimesikia eti Upendo wa maskini hauaminikagi 100% teh teh. Mtu anaweza akawa anakomaa na wewe as choices zake anazozitaka zinamkataa kisa hana hela; you are what is available kwa muda huo. Siku akipata hela ndo anaanza wewe sio wa hadhi yangu blah blah. So wadada hawataki hizo shida za kupanda na wewe juani; muda wa kula kivulini unaenda kula na wa hadhi zako.Hili ni somo gumu sana kueleweka ila ndio kitu sahihi na cha ukweli. Wadada kuweni serious na sie wenye mapenzi ya dhati! Pesa zinatafutwa tu. Mwanaume anaekupenda atajitoa kwa hali na mali kuhakikisha hakupotezi na anafanikisha malengo ya kimaisha na wewe. Uzuri mnaweza kujifunza kumepnda mtu taratibu kwa namna mnavyokuwa karibu nae mda mwingi!
Hahaha mzee baba huyo kisampido alikufanyeje...hebu funguka![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Broo kuna mwanadada nilikuwa nampenda sana nikasema huyu lazima Nimuweke mtu kati nimuheshimishe nimpe maisha. Baada ya kuwa nae kwenye mahusiano for 2 months nikagundua kuwa hana hadhi ya kuwa mke wa mtu yeyote. Ana vitabia vya kishenzi sana. Nadhani ndio maana hajaolewa hadi leo na umri umesonga she'z abt 28 na uzuri wake wa nje nikawa najiuliza hivi kweli wanaume hawajamuona kweli??? Kwann haolewi
Basi na mm nikamuongezea milage nikamuacha. Ila kwa nje ni mwanamke mzuri sana anaestahili kila kitu. Lakini Ovyo kabisa. Najuta kukutana nae maana ndio mmoja ya watu ambao hawatoki kichwani kwangu.
Shenzy kabisa
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Poa mkuuMishes vp
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Hahaha sasa ubaya huko kivulini unapotaka kuanza kulia bila kujua mtu kahuslte vipi lazma kuambatane na manyanyaso! Mbaya zaidi ni kutafunwa na kutemwa kama Big GShida ni kwamba utajuaje kama huyo anayedai anakupenda yupo real na wewe? Nimesikia eti Upendo wa maskini hauaminikagi 100% teh teh. Mtu anaweza akawa anakomaa na wewe as choices zake anazozitaka zinamkataa kisa hana hela; you are what is available kwa muda huo. Siku akipata hela ndo anaanza wewe sio wa hadhi yangu blah blah. So wadada hawataki hizo shida za kupanda na wewe juani; muda wa kula kivulini unaenda kula na wa hadhi zako.
Afu kuwa maskini doesn't make you a perfect partner, sio kila mtu anaweza kukuchukulia weakness zako; so mtu akikukataa shukuru tu.