AKILI ZAKO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 2,924
- 4,474
Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
Bado hujasema 😂💯% 👉🚮
Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
Apeleke sasa wamefungwa na ihefu FIFA waingilie katiYule jamaa alikuwa anaboa Sana. Eti anapeleka mashtaka FIFA