Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Ulipigwa mkuu,
Hiki kitabu "Natural Remedy Encyclopedia" kilitolewa bure kabisa na Shirika LA afya duniani WHO kwa RAIA wote dunian waweze kukipata na kukisoma bure kabisa mtandaoni.

Na ilitangazwa dunia nzima kwenye midia zote za kimataifa watu wapakue bure

Ingia google ujipakulie for free, HAO WAHUNI KINA NDODI.

Wamedownload na kugonga copy tu ya watu.

" Cha mjinga, huliwa na mwelevu"
Aisee kweli cha mjinga huliwa na mwerevu kama vile ambavyo cha mlevi huliwa na mgema!
 
nimewahi kuongea nae akasema hao wakina rahabu aliwafundisha yeye, na wengine wengi tu.
Ingawa na Yeye anamkubali mdau mmoja yuko nyuma ya ubungo plaza nadhani na yeye alijifulia pale kuongeza ujuzi.
Ila ndodi anasoma sana, lzm ajitofautishe na wengine kiueledi.

Ila zile dawa kwa utafiti wangu ni kweli zinasaidia ila sio kwa Muda mfupi kama wanavyojinadi, na huwa wanaongeza chumvi kidogo kuzipigia promo.
Mwenyewe kwenye home library ninavitabu vya mambo hayo, mambo mengine huwa nayamalizia home tu bila kwenda hata hospital.
mfano kimoja kinaitwa Natural Health Encyclopedia kinauzwa 150K Tsh.
Dawa za mitishamba ni upuuzi
 
unaweza kuagiza amazon utapata kwa bei ya chini zaidi.
unaweza kwenda kwenye maduka ya vitabu SDA vinapatikana. Kama uko DSM nenda pale Mwenge au Ilala opposite na soko kuna duka pale pembeni ya kanisa.

wale jamaa wanasoma, na kuhadithia watanzania wanasiopenda kusoma.
Kuna kimoja '' health and strong'' kama unafamilia ni bomba sana kwa afya ya mtoto na mama mjamzito na vyakula gani ale na kwa nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitabu cha kisabato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima ukute dawa kuhusu chapa ya yule mnyama
 
nimewahi kuongea nae akasema hao wakina rahabu aliwafundisha yeye, na wengine wengi tu.
Ingawa na Yeye anamkubali mdau mmoja yuko nyuma ya ubungo plaza nadhani na yeye alijifulia pale kuongeza ujuzi.
Ila ndodi anasoma sana, lzm ajitofautishe na wengine kiueledi.

Ila zile dawa kwa utafiti wangu ni kweli zinasaidia ila sio kwa Muda mfupi kama wanavyojinadi, na huwa wanaongeza chumvi kidogo kuzipigia promo.
Mwenyewe kwenye home library ninavitabu vya mambo hayo, mambo mengine huwa nayamalizia home tu bila kwenda hata hospital.
mfano kimoja kinaitwa Natural Health Encyclopedia kinauzwa 150K Tsh.
Natural Health Encyclopedia ndo kilikuwa desa lake. Ninacho
 
Rahab yupo baada ya kutoka kifungoni
 
Hahaaaaa mimi alinichekesha eti wanawake wanapungukiwa nguvu za kike mhhhhhh nilichoka sana aisee. Hafu Ili kukamata wengi anatumia na mstari wa biblia
Hahah aisee huo ni uongo aisee,na akasema hizo nguvu zinarudishwaje sasa?
 
Utapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.
Ndodi sasa karithi kitambi cha John Komba. Dawa zake mwenyewe hazimsaidii tena.
Mi huwa nawaambia,unene,ni issue ambayo hata madaktari nadhani bado hawajaielewa vizuri.Utakuta unaambiwa piga mazoezi,kula sijui mboga mboga kwa wingi!Hivi binadamu tena mwanaume,utaweza kuishi kwa mboga?Akili inahitaji nishati,misuli inahitaji nishati,halafu wewe unakula mchicha!Kuna baadhi ya wababe wwe wanavitambi na mazoezi wanayopiga ni mazito sana.
 
Back
Top Bottom