Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

KWELI MKUU.


JAPO AKIULIZWA HAWEZI KUKUBALI KWA SABABU ZA KIAFRIKA.. [emoji17]!
Nampa benefets of the doubt kua atakubali ukweli kua Ndodi ndo baba wa tasnia yao...yani Nyerere wao

ILA AKIKATAA nitasikitika sana maana wa kina Ndodi walihustle sana kuifikisha tasnia hiyo ya ubabaishaji mpaka ilipofika....

Ila watu wanamdiss Ndodi kuota kitambi ila mi nampongeza maana kazi aliyoifanya kipindi kile haikua kazi rahisi ...wamuache apumzike afurahie mafanikio yake.....
 
Baada ya kumfuatilia sana Dr. Ndodi kwenye Radio na TV akielezea athari za kula ovyo vyakula ktk afya, siku moja nikamwona live singida kwenye hotel fulani yuko na wapambe wake akisubiri order ya lunch hapo hotelini. Nilishangaa kukuta analetewa kuku wa kukaangwa, ugali wa sembe na pembeni kuna soda ya mirinda orange. Toka hapo sikufuatilia vipindi vyake tena. Mpaka leo sijui yuko wapi.
Haha mkuu ulitegemea aagize juice ya mwarobaini badala ya mirinda nyeusi??
Huwezi kua serious
 
Ndodi ilikuwa ukimwangalia wakati anahutubia juu ya Dawa zake mixers na u sabato ndani yake...

unagundua ni mpigaji staff..

..ilikuwa kumuona ni elfu 50 kwa @ kichwa huko hoteliniii,alafu dozi anakupa ya miezi kadhaa kwa stage maalumu ya kupigia pesa
 
Baada ya kumfuatilia sana Dr. Ndodi kwenye Radio na TV akielezea athari za kula ovyo vyakula ktk afya, siku moja nikamwona live singida kwenye hotel fulani yuko na wapambe wake akisubiri order ya lunch hapo hotelini. Nilishangaa kukuta analetewa kuku wa kukaangwa, ugali wa sembe na pembeni kuna soda ya mirinda orange. Toka hapo sikufuatilia vipindi vyake tena. Mpaka leo sijui yuko wapi.
Watanzania tu rahisi mno kudanganyika. Sijaona taifa lenye lumbukeni kama letu. Watu watu wamepigwa fedha za kutosha na hawa matapeli. Nilikuwa nadhani labda watu hawana elimu ya kutosha lakini nikajakuta na baadhi ya waliosoma nao wanamwamini. Serikali inatakiwa ilinde raia wake na matapeli kama haya kwani yanachuma mamilioni kwa sababu ya ujinga wa watu.
 
Hahaha! Pole cmases, vp mahakama iliwapa haki zao? maana kuna jamaa yangu 1 kakonda mpk leo yani akitembea adi anaongea mwenyewe aliliwa fweza ndefu. Kuna siku krb anifunge kamba ya shingo huku akiniburuta mpk D9.
Usinikumbushe machungu, kuna watu walikopa hela nyingi, baada ya kupigwa wakaamua kimpeleka mwanzilishi wa hapa bongo mahakamani walls za uso!!
 
Hahah halafu wasabato wanamuaminia kichiz,kuna mwana ameoa msabato akiumwa kichwa tu utasikia mkewe anamwambia kunywa chai yenye tangawizi nyingii na mchamchai sijui nini mshikaji inabidi anywee panadol zake kwny gari huko.

Kuna siku nilikutana na ndodi mtaani aisee kile kitambi chake ni balaa sana,pressure/sukari haimuachi pale.
Hahahahahah dah
 
Hahaaaaa jamani
Utapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.
Ndodi sasa karithi kitambi cha John Komba. Dawa zake mwenyewe hazimsaidii tena.
 
Hahaaaaa jamani tena marinda baridi na kuku chezeiya wewe
Baada ya kumfuatilia sana Dr. Ndodi kwenye Radio na TV akielezea athari za kula ovyo vyakula ktk afya, siku moja nikamwona live singida kwenye hotel fulani yuko na wapambe wake akisubiri order ya lunch hapo hotelini. Nilishangaa kukuta analetewa kuku wa kukaangwa, ugali wa sembe na pembeni kuna soda ya mirinda orange. Toka hapo sikufuatilia vipindi vyake tena. Mpaka leo sijui yuko wapi.
 
mwenye picha ya alivyo sasa hivi, tafadhali post humu
 
Wakina mama nao hutafuta mimba huku, na wenye vibamia waliambiwa vitarefuka, hawa jamaa Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom