Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Hana kitambi cha kitisha basi.... ila jamaa sura yake tu imekaa kiupigaji pigaji tu kama yule nabii wa ubungo kule riverside.... sura za wapiga dili
Amekificha kwenye kaunda suti ngoja achomekee ni kama marehemu John Komba.
 
Baada ya kumfuatilia sana Dr. Ndodi kwenye Radio na TV akielezea athari za kula ovyo vyakula ktk afya, siku moja nikamwona live singida kwenye hotel fulani yuko na wapambe wake akisubiri order ya lunch hapo hotelini. Nilishangaa kukuta analetewa kuku wa kukaangwa, ugali wa sembe na pembeni kuna soda ya mirinda orange. Toka hapo sikufuatilia vipindi vyake tena. Mpaka leo sijui yuko wapi.
Halafu Singida ndio kwao mkuu....yani Jamaa alikuwa anaponda kitambi na unene....
 
Ila jamani uongo mbaya ndodi alikuwa muhuni alimtapeli anko wangu dawa ya 350000 kampa na hajapona
Pole mkuu wamepiga watu wengi sana...yani nakumbuka Jamaa alkuwa akifika Mwanza foleni ya kumuona utadhan mfalme ...kumuona tu n buku 3.
 
watu wa kanda ya ziwa bana!!! Sijawahi kumsikia Ndodi huku Rombo, Pesa zetu angezitapika kwa Njia nyingine yoyote
 
Mtu anaenda kwa ndodi, Rahabu, n.k ili apone Presha, saratani, kisukari, vidonda vya tumbo na UKIMWI...magonjwa ambayo dunia nzima hakuna anayejua dawa ni nini.

Hata ningekuwa mimi ndie Ndodi mtu kama huyo namwambia tiba ni milioni 4 kwa miezi miwili halafu akapambane mbele huko na magonjwa yake.
 
Hahaha! Pole cmases, vp mahakama iliwapa haki zao? maana kuna jamaa yangu 1 kakonda mpk leo yani akitembea adi anaongea mwenyewe aliliwa fweza ndefu. Kuna siku krb anifunge kamba ya shingo huku akiniburuta mpk D9.
Wewe ndio ulimpeleka?
 
Wewe ndio ulimpeleka?
Hapana Khantwe yani kabla hawajaliwa hela alinifata nikajiunge D9 nikawa nampa chenga za mwili basi kuna siku akanikuta sehemu wacha anin'gan'ganize bahati nzr mzee wangu akatokea pale nimpeleke hspt ndo tukaachana hivo. Baada ya siku chache nikasikia ni vilio wanamlilia mungu wao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitabu cha kisabato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima ukute dawa kuhusu chapa ya yule mnyama
hahahahaa
mule hamna hizo mkuu, sema kuna tips za biblical encouragements kila baada ya ushauri na dawa.
 
Yaani ukiumwa tu,juwa tayari umeshakuwa fursa kwa matapeli n.k
 
watu wa kanda ya ziwa bana!!! Sijawahi kumsikia Ndodi huku Rombo, Pesa zetu angezitapika kwa Njia nyingine yoyote
Ni kama ambavyo huwezi kusikia wanawake wa Kanda ya ziwa waki-import wanaume kutoka Kenya, sababu kuu ikiwa waume zao ni walevi hawawezi kuisulubu K tena.
 
Kama Rahabu,bei za mitishamba yake ilikuwa juu lakini uponyaji zero.Amepiga fedha sana.Pale Mwanza enzi hizo alikuwa anafikia Mwanza hotel,halafu foleni ya watu utadhani msururu wa watu wanaosubiri zamu kuingia chooni asubuhi maeneo yetu yale pendwa ya tandale kwa Mtogole,Temeke,Manzense,Mwananyamala na Ubungo Maji.Tubadilike na tuchukue hatua Watanzania wenzangu,tusiwape hela wenzetu hawa na tiba zao za danganya toto.
Nadhani Ndodi alikuwa na bei sana kuliko wote hao
 
Back
Top Bottom