Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Ni kama ambavyo huwezi kusikia wanawake wa Kanda ya ziwa waki-import wanaume kutoka Kenya, sababu kuu ikiwa waume zao ni walevi hawawezi kuisulubu K tena.

Jombaa mwenye akili timamu hawezi kuamini huu utaahira pole sana
 
MAMA TERI HAPO ALIPO ATUSAIDIE ATUANDIKIE KITABU KUHUSU MTIZAMO WAKE KUHUSU AFYA YA BINADAMU NA TIBA YA JUICE YA MATUNDA MBALIMBALI NA MENGINEYO. HAKIKA TULIFAIDIKA SANA NA VIPINDI VYAKO.

NAKUKUMBUKA SANA KWA MSEMO " UKILA VITU VYENYE UHAI UNAPATA UHAI".
 
D9 iliwaacha watu hoi,tena wengine wenye heshima ndani ya jamii.Walipigwa halafu wakakaa kimyaaa kama vile hakikutokea kitu.Wengine tuliwaasa baada ya kuona Serikali ya Rwanda kuanza kuchukua hatua ya kuwafyekelea mbali,wajanja hao wa kutafuta Fedha walituona wengine tu wajinga hatujui kutafuta fedha,lakini kilichokuja kutokea ilikuwa aibu.
Hivi hii kitu kushney? Nilishawishiwa na ndugu zangu wenye heshima zao, duh naona noma hata kuwalizia D9 inaendeleaje kumbe walishalizwa!!
 
Back
Top Bottom