Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Waganga wa nguvu za Kiume mara dawa ya mchanganiko kufanya uume usimame muda mrefu. Wanapiga Pesa Tatizo kubwa shule walikuwa hawana kabisa.
 
Hahah kwenye hilo alifanikiwa sana,baadae akasema ukipiga bao 1 kwny ngono ni sawasawa na mtu aliyekimbia kilometre 10 na ngapi huko,teh the guy alikua ni comedian yule.
Hahaaaaa mimi alinichekesha eti wanawake wanapungukiwa nguvu za kike mhhhhhh nilichoka sana aisee. Hafu Ili kukamata wengi anatumia na mstari wa biblia
 
Hahaaaaa mimi alinichekesha eti wanawake wanapungukiwa nguvu za kike mhhhhhh nilichoka sana aisee. Hafu Ili kukamata wengi anatumia na mstari wa biblia

Ukitaka nguvu za kike zije gusa gusa kin€mb€ chako au cha mwanamke yoyote.. Utaziona
 
Nenda Google ukadownload PDF YAke Bure kabisa
Ngoja niende mkuu japo nilikua nampima huyo jamaa kama ni janja janja ya kutaka kuuza kitabu


Tayari nishajipatia copy yangu mkuu kutoka google....kinaonesha ni kitabu kizuri sana kina 956 pages...so kinaonekana kipo deep.
 
Hata mm hiki kitabu nilikinunua pale njombe mjini kinanisaidia sana na nilichukua kwa 150K
Ulipigwa mkuu,
Hiki kitabu "Natural Remedy Encyclopedia" kilitolewa bure kabisa na Shirika LA afya duniani WHO kwa RAIA wote dunian waweze kukipata na kukisoma bure kabisa mtandaoni.

Na ilitangazwa dunia nzima kwenye midia zote za kimataifa watu wapakue bure

Ingia google ujipakulie for free, HAO WAHUNI KINA NDODI.

Wamedownload na kugonga copy tu ya watu.

" Cha mjinga, huliwa na mwelevu"
 
Haha ama kweli nimeamini Mganga hajigangi!

Huyo Boaz itakua ni mwanafunzi wa Ndodi ...apo Ndodi amefarijika kukutana na mfuasi wake na Boaz naye kafarijika kukutana na Role Model wake...ndo mana they seem happy....
Boaz ni mhitimi kutoka bugando university
 
Nampa benefets of the doubt kua atakubali ukweli kua Ndodi ndo baba wa tasnia yao...yani Nyerere wao

ILA AKIKATAA nitasikitika sana maana wa kina Ndodi walihustle sana kuifikisha tasnia hiyo ya ubabaishaji mpaka ilipofika....

Ila watu wanamdiss Ndodi kuota kitambi ila mi nampongeza maana kazi aliyoifanya kipindi kile haikua kazi rahisi ...wamuache apumzike afurahie mafanikio yake.....
HS amoni
 
Back
Top Bottom